Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo


HIYO NDIO SABABU ILIKUA HAKUWA ANATAKIWA KUSAFIRI UMBALI MREFU BY AIR
 
Sasa ndiyo napata jibu ni kwanini alikuwa hapendi kupanda ndege mara kwa mara, na kwa upande mwingine naona namna tulivyo muonea na kumhukumu mtu huyu bila kuujua ukweli!!
Sasa kama alikuwa na hilo tatizo halafu akawa anajijua kabisa kuwa afya yake ni kikwazo alikuwa hapaswi kugombea nafasi ya kuongoza nchi Ifahamike kwamba raisi wa nchi ndiye kichochezi cha maendeleo na usalama wa nchi husika sasa kama afya yake haiko sawa hauoni kuwa hiyo ni hatari kwa ustawi wa maendeleo na usalama pia kwa nchi anayo iongoza !?
 
Kama alikuwa anajua hivyo zile pushapu alipiga za nini.
Huenda ndio zilisababisha hata neturo ya betri ikakata.
[emoji16][emoji16][emoji16] hata mimi hilo lilinishangaza sana baada ya kupata hizo taarifa

Nadhani huu uchaguzi mkuu uliopita pia umechangia kwa kiasi kikubwa sana afya yake kuyumba kama mnavyojua pilika za uchaguzi jinsi zilivyo na kurejea kwa lissu tz pia kulichangia kumuongezea pressure
 
[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Corona aggravates the situation. It severely attacks the weak and elders. Anyway RIP JPM.
 
Punguza Bangi na mirungu, Fuata ushauri wa dactari,

Tutakupoteza ukiendekeza ujinga
magufuli kama yeye mwanaume angepambana na tundu lissu kwa hoja kikwete kafurahi kimoyomoyo magufuli kufa maana alimuonya hakusikia.afe tu kwani nani anapata hasara
 
Huyo alikuwa yeye

Mbona Magufuli alikuwa anapanda sana, mwenyewe alisema amekwenda nchi nyingi sana Ulaya ikiwemo Canada, Ujeremani, Uingereza nk
Halafu wewe vipi !? Unasema kwamba yeye mwenyewe alisema ndio alisema lakini alikuwa anapanda hizo ndege na kwenda huko abroad wakati gani na mwaka gani ... Je kama alifanya hizo trip miaka 15 ilyopitqa kabla hajawa raisi ... Pia yaweza kuwa alikuwa anakwenda halafu baadae akapatwa na hitilafu ndio madaktari wake wakaja kumshauri kuwa asiwe anapanda ndege na kusafiri umbali wa muda mrefu
 
Lakini kuna kitu ntamulaumu Raisi wetu ambacho kimechangia kifo chake kuwa cha mapema zaudi, ni ukaidi wa corona 19. pia alikua anasema msema ukweli ni mpenzi wa Mungu kwanini hakutarifu wananchi kwamba aliwekewa kidude (pacemaker) kwenye mwoyo.......huwezi kujitafutia pressure za bure kwa kuaanzisha hiyo miradi mikubwa na unajiwekea deadline ya kumaliza. JPM overworked his fragile heart, kufurahisha watanzania ila limemcost is life kiuzambe sanaa.........RIP JPM
 
Ange kuwa muwazi basi tusimtanie!!! wewe unajua unaumwa unakuwa Rais hivi unajua hii kazi unatakiwa uwe na moyo km wa mwendawazimu!!! hapo hajatishiwa kupinduliwa!!!! si ndo angefia hapohapo!!

Hebu angalia mikiki mikiki walopewa nyerere Mara kambona huku Bibi titi, mara idd amini sasa huyu si angekufa.... angepigwa ishara km za kutumbuliwa heeee!!

ndo maana alikuwa na hasira sana ajili ya Pressure akiona baadhi ya watanzania wana furaha ....jizi hilo kamata.... sasa ka lissu kalikosa nini akatumia nguvu kuuubwa...
 
Mliunganana na #Mataga kututukana mara zote tulipowaeleza kuhusu hizo heart problems...
Mliyaona ya Lowassa na Mrema kuliko ya JPM...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…