Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

Daima alikuwa anamshirikisha MUNGU KWENYE MAOMBI NA SALA
 
Mkuu kwani Ni lazima Kiongozi aanzishe Si Hata Wakuu wa Madhehebu wanaweza Kuanzisha maombi kuombea Mvua,
Mfano Askofu wa Kanisa fulani au Mwenyekiti wa madhehebu si wana Umoja wao?
Wakaanzisha sala ikaanza
Nchi hupona haraka majanga Kama kiongozi wa nchi akianzisha maombi sio kiongozi wa dini mfano mzuri kwenye Biblia Ni Mfalme wa Ninawi .

Magufuli alikuwa Kama Mfalme wa Ninawi
 
Hakika hatutamsahau jiwe kwa kutuletea kupatwa kwa jua pale mbeya, Marais wote waliopita hawakuwahi kuleta hii kitu.
 
Kwa hiyo hao wanaofariki na umri mdogo hawana kheri sio? Usikariri maandiko mkuu! Kheri kuishi miaka michache ukaacha alama ya vizazi kuliko kuishi miaka mingi huku ukiwa mpumbavu!
 
Ukame nchini umesababishwa na chama cha mapinduzi baada ya wao kutafuna pesa tulizopewa msaada ili tununue mvua.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwa nn wasikubishie Sasa [emoji38]
 
Msingi wa hoja hapa sijaelewa vizuri, ndio kusema Mzee ameondoka hatutakuwa tunapata tena mvua za kutosha au?!
Angalizo, binadamu yote tufanye ila tusianguke kwenye mtego wa kuanza kuabudu binadamu wenzetu.
 
Kwani Kwenye Ahadi Zangu Niliahidi Kuleta Tetemeko?
Huku Kagera Mmezidi, Mto Ngono Huku Huku
By Mzilankende
 
Hawa waliopo hawataki kumpa Mungu utukufu na atawanyoosha.
Joto,ajali lukuki nk.
Mungu aliiponya nchi na Corona wao wanataka barakoa na chanjo zipate utukufu.
Mungu kawakomesha chanjo zimedoda,barakoa kabakia Hangaya tu,na wanaokula mezani pake.

Watavaa mibarakoa mpaka Yesu anarudi,huku wananchi wakidunda bila mibarakoa Kama mabakuli.

Usicheze na Mungu akiamua kukufedhehesa utahenya.
 
Fara ww ina maana huwajui, Ben sa8 yuko wapi? kikosi cha wasiojulikana kilikuwa na kaz gan? Mbona siku hakipws
Waliomung'oa meno Ulimboka na kumbambikiza Rwakatale ulikuwa utawala gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…