Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Hayati Rais Magufuli alishatuambia kuwa Mama Samia ana wajomba Oman na wa Oman ni ndugu zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio ukweli,na ukweli,haupati wachangiaji.Wanaouliza kuhusu undugu wa Mama Samia na wajomba zake wa Oman,alishatueleza Mh.Rais Magufuli,na pia akatuambia hawa wa Oman ni ndugu zetu.View attachment 2261727View attachment 2261727
View attachment 2261726
Mh.Rais Magufuli,slishatuambia kama Mama Samia,ana wajomba Oman na wa Oman ni ndugu zetu
View attachment 2261726
Tuwekee kipande cha sauti yake au video kuthibitisha hili tafadhali wewe Mzanzibar Kikwajuni One .View attachment 2261727View attachment 2261727
View attachment 2261726
Mh.Rais Magufuli,slishatuambia kama Mama Samia,ana wajomba Oman na wa Oman ni ndugu zetu
View attachment 2261726
Sisi Tanzania,inatakiwa tutembee kifua mbele,kwa kutoa viongozi mbali mbali duniani,na kueneza lugha ya kiswahili,na inasemekana ,japo sina uhakika,hata Mufti wa Oman,anatokea Tanzania,na anajuwa kiswahili.Siasa zina Fitina Sana,
Salim Ahmed Salim alikosa nafasi ya kugombea Uraisi kwa sababu tu tuliambiwa kuwa alikuwa na Vinasaba vya Waarabu.
Mimi sio mzanzibar ,mimi ni Mtanganyika.Tuwekee kipande cha sauti yake au video kuthibitisha hili tafadhali wewe Mzanzibar Kikwajuni One .
Video nimeweka,fungua uisikize,ya Mh.Rais Magufuli.Mimi ni mtanganyika,sio mzanzibari.Tuwekee kipande cha sauti yake au video kuthibitisha hili tafadhali wewe Mzanzibar Kikwajuni One .
Huu ndio uzi wenye ukweli mtupu,lakini haupati wachangiaji.View attachment 2261783View attachment 2261785
Tatizo la Mama kila akipata fursa anamuongelea mwenzake vibaya, juzi tena karudia Oman.
Naunga mkono hojaSisi Tanzania,inatakiwa tutembee kifua mbele,kwa kutoa viongozi mbali mbali duniani,na kueneza lugha ya kiswahili,na inasemekana ,japo sina uhakika,hata Mufti wa Oman,anatokea Tanzania,na anajuwa kiswahili.
Mpumuliwa kisogoni hajawahi kuwa na kitu upstairs... pathetic...Haya wafuasi wa mwendazake semeni tena jambo...mungu wenu huyo kasema Samia ana wajomba Oman na akaona ni jambo jema...[emoji1787][emoji1787]
Jiwe akaamua kutowazungumzia Wazee wale walioko Burundi, hakutenda Haki kabisaView attachment 2261727
Hayati Rais Magufuli alishatuambia kuwa Mama Samia ana wajomba Oman na wa Oman ni ndugu zetu
View attachment 2261726