Hayati Magufuli alishatuambia kuwa Rais Samia ana wajomba Oman

Hayati Magufuli alishatuambia kuwa Rais Samia ana wajomba Oman

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
13,149
Reaction score
6,994
IMG-20220614-WA0019.jpg


Hayati Rais Magufuli alishatuambia kuwa Mama Samia ana wajomba Oman na wa Oman ni ndugu zetu
 
View attachment 2261727View attachment 2261727
View attachment 2261726
Mh.Rais Magufuli,slishatuambia kama Mama Samia,ana wajomba Oman na wa Oman ni ndugu zetu
View attachment 2261726
Huu ndio ukweli,na ukweli,haupati wachangiaji.Wanaouliza kuhusu undugu wa Mama Samia na wajomba zake wa Oman,alishatueleza Mh.Rais Magufuli,na pia akatuambia hawa wa Oman ni ndugu zetu.

Walipokuja mawaziri kutoka Oman,ambao wengi wao asili yao ni Tanzania na wanaongea kiswahili.Hapa inatakiwa sisi watanzania,kutembea kifua mbele,kuwa tumejipenyeza katika nchi mbali mbali duniani,katika uongozi,na kueneza lugha ya kiswahili.
 
Siasa zina Fitina Sana,

Salim Ahmed Salim alikosa nafasi ya kugombea Uraisi kwa sababu tu tuliambiwa kuwa alikuwa na Vinasaba vya Waarabu.
Sisi Tanzania,inatakiwa tutembee kifua mbele,kwa kutoa viongozi mbali mbali duniani,na kueneza lugha ya kiswahili,na inasemekana ,japo sina uhakika,hata Mufti wa Oman,anatokea Tanzania,na anajuwa kiswahili.
 
Huu ndio uzi wenye ukweli mtupu,lakini haupati wachangiaji.
IMG-20220614-WA0019.jpg
 
Ujinga tu, hata kama Magufuli alisema Samia ana wajomba Oman lakini hakusema muwape hao waarabu wanyama wetu.

Nyie kuweni na wajomba mpaka Afghanistan mkipenda, lakini rasilimali za taifa msizigawe kwa wajomba zenu.
 
Mbon Magufuli mwenyewe si alikuwa mhutu wa Burundi ndio maana jamaa lilikuwa katili na roho mbaya kama ndugu zake wahutu. Yaani ikulu ya nchi ilikuwa inaongozwa na raia wawili toka mataifa tofauti ***** kafa mmoja mwingine kachukua hatamu.

Kwa KATIBA hii mbovu sio tuu dada yao anatawala Hata mfalme wa Omani atakuja kutawala hapa na hamumfanyi chochote majuha ninyi.
 
Mjomba ni mama.. Mama akitaka kitu mwana hawezi kamwe kumnyima ama kwa upendo ama kwa kuogopa radhi ama kwa kuogopa kusemwa na kutengwa na ndugu
Mjomba ni mama hata akiwahitaji bata wa bwawa la kijiji na nguchiro wa msitu wa hifadhi wa kijiji atapata...[emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Haya wafuasi wa mwendazake semeni tena jambo...mungu wenu huyo kasema Samia ana wajomba Oman na akaona ni jambo jema...[emoji1787][emoji1787]
Mpumuliwa kisogoni hajawahi kuwa na kitu upstairs... pathetic...
 
Back
Top Bottom