Hayati Magufuli alivyoifilisi familia ya Jamal Malinzi

Mungu ni mkali mnooo.Anatupenda w Tanzania
 
Huyo ni mwizi tu kama wezi wengine. Mwaka 2015 Magufuli hakuwa Rais angeweza kwenda chukua pesa TFF huo ni uongo wa wazi tu unamtetea mwizi mwenzio uzuri alikubali kuwa ni mwizi nakazitoa pesa alizoiba sasa hayo mengine ni porojo na udaku tu.
 
Umeusoma uzi na kuuelewa au umekariri mambo?Soma neno kwa neno na utumie na kamusi kujielewesha kuhusu nyakati/tenses!
 
Huyo ni mwizi tu kama wezi wengine. Mwaka 2015 Magufuli hakuwa Rais angeweza kwenda chukua pesa TFF huo ni uongo wa wazi tu unamtetea mwizi mwenzio uzuri alikubali kuwa ni mwizi nakazitoa pesa alizoiba sasa hayo mengine ni porojo na udaku tu.
Wapi pameandikwa magufuli alienda kuchukua pesa TFf,timu ya kampeni ndio ilienda na akajua amenyimwa pesa alivyoshika nchi akawakomesha
 
Ni hela zake ambazo ziliwekezwa katika biashara kupitia ndugu zake. Ndugu wa kulipa hela hiyo dunia hii hayupo
 
Wapi pameandikwa magufuli alienda kuchukua pesa TFf,timu ya kampeni ndio ilienda na akajua amenyimwa pesa alivyoshika nchi akawakomesha
Timu ya Kampeni ilikuwa chini ya Kinana na Nape wakati huo acha upotoshaji. Mwambie nduguyo aache wizi wa mali za umma fullstop!!
 
Bila Mwenyezi Mungu kulifyekelea mbali lile jini nchi ilikuwa inaelekea kuzimu kabisa
 
Timu ya Kampeni ilikuwa chini na Kinana na Nape wakati huo acha upotoshaji. Mwambie nduguyo aache wizi wa mali za umma fullstop!!
Iliitwa "timu ya ushindi"; ilitembelea watu wengi muhimu wakiwemo CEOs wa parastatals na kuwataka "support" kama wanataka kuendelea kuwa ndani ya ulingo, that's it. Waliosita wanajua kilichowakuta - baadaye - when the going started being nasty.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…