Hayati Magufuli anapotajwa kuwa Shujaa wa Afrika, maana yake nini?

ni uhayawani na ulimbukeni wa ccm kupenda kukuza vitu vidogo kwa masilahi yao eti shujaa wa Africa,wakati AFRIKA inashangaa alikuwa shujaa wetu kwa lipi
 
TBC wanatamani kumtangaza kuwa shujaa wa Dunia hasa kale kajama rioba
 
Wanamuita shujaa wa Afrika kwa sababu alisema korona haipo lakin imemfyeka.

DR. Wa Korona via Nyungu
 
Shuja wetu huyo tutamkumbuka kwa mazuri tu ila mabaya tumesha msameha
 
huyo dictator uchwara alikuwa ni mfalme wa chato na sio Afrika.nyie wapumbavu nini? mnamuweka magufuli level moja na mandela??
 
kwani kuwa shuja wa Afrika mpaka uhutubie UN?
Sema basi kaifanyia nini Afrika kuanzia pale Durban SA hadi pale Tripol Libya.

Orodhesha machache .kwamba leo ukienda pale Lagos au Accra basi utakuta watu wanasema shujaa wa Afrika amefariki.

Basi ingetosha tu kusema Ni shujaa wa Taifa. Tusikuze Sana Mambo hadi watu wa nje ya Tz wakatushangaa.
 
Those who participated in assassination attempt .. must Face fate consecutively
 
Pamoja na yote kwenye suala hili Magufuli anastahili kuitwa mtoto wa Africa au shujaa wa Africa...bila kujali aliyoyafanya dhidi ya wazungu yalikua na athari chanya au hasi kwa nchi.

Misimamo yake ilionyesha kutokubaliana na Mataifa ya nje hasa wazungu,hakuwaamini kabisa,alitilia mashaka kila kilicho chao,aliwaita mabeberu hadharani,alifumua mikataba yao bila kuwaangalia usoni,hakufanya safari kwenda kwao,alihutubia kwa kutumia kiswahili,amefia hospitali ya nyumbani(Mzena) ambapo ingekua rais mwingine angeshakimbizwa kitambo kwenda kwa mabeberu,huu uatakua ni msimamo wake tu.hakuna rais anayefanya alichofanya Maguli kwenye Africa ya sasa...alikua na guts kweli.

Yes Magufuli ni shujaa wa Africa,itabaki hivyo hata tusipotaka.
 
ASANTE MUNGU KWA MAISHA YA RAIS MAGUFULI HAKIKA NI ZAWADI ISIYOMITHIRIKA
EVOLUTION OF MATAGA
Anaumwa > Atakuwa anaumwa lakini hajafa > Amekufa lakini anapendwa > Anapendwa ndio maana watu wamejaa > Watu wanamuonea wivu marehemu > Shujaa wa Africa.
 
ASANTE MUNGU KWA MAISHA YA RAIS MAGUFULI HAKIKA NI ZAWADI ISIYOMITHIRIKA
EVOLUTION OF MATAGA
Anaumwa > Atakuwa anaumwa lakini hajafa > Amekufa lakini anapendwa > Anapendwa ndio maana watu wamejaa > Watu wanamuonea wivu marehemu > Shujaa wa Africa.
 
Tulia nyangau.. sheria ni msumeno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…