Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
- Thread starter
-
- #61
uhuru wa kuchagua lakini sio uhuru wa kupotoshaNdio.na ndo maana nimekwambia weka neno ulipendalo WEWE.
Hata ukimuita muuaji wa africa sawa tu.
Una uhuru wa kuchagua.
Ila wao wamechagua kumuita shujaa wa africa.
Maisha yana positive na negative.
Ndo maana afande sele alichagua kumtukana mungu ila wengine wanamsifu.
Kwa hyo usifanye vitu vikawa vigumu.
Bira shaka, maana sisi tulioko huku tunaona wakimbizi wanarudi kwao kwa hiyari, baada ya vita kupungua, waulize wacongo na waburundi kuhusu Jpm, watakwambia umuhimu wakekwamba Magufuli alipatanisha Burundi, Congo?
mkuu usiwe mkali? Magufuli amekuwa kinara wa ubaguzi ndani ya nchi yake. Amevuruga umoja na mshikamano wetu. Hili ni doa.ndio maana leo hii mmegeuza msiba kuwa kampeni. Let things slide.Hivi ninyi mtaendelea kum'underrate Magufuli mpaka lini? Ni miaka mitano, kafanya ya miaka 40 iliyopita combined!
Hivi ww umefanya nini hata ulete uzwauzwa hapa! Mkapa ana mazuri yake lakini Magufuli kazidi sana!
Unauhakika Mbeya, Kawe na Bunda hayakupelekwa maendeleo?Karibu mkuu Mingoi
Vipi kuhusu utengamano? Tulimsikia akihamasisha kina Heche, Mdee, Sugu, Bulaya hawakupelekewa maendeleo kwa sababu ni wwpinzani? Tulimsikia akisema nchi zinafarakana ziache zifarakane ili sisi tukaziuzie mazao. Huyo ni shujaa?
uhuru wa kuchagua lakini sio uhuru wa kupotosha
tueleze jinsi Magfuli alivyopatanisha Burundi na CongoBira shaka, maana sisi tulioko huku tunaona wakimbizi wanarudi kwao kwa hiyari, baada ya vita kupungua, waulize wacongo na waburundi kuhusu Jpm, watakwambia umuhimu wake
Unajua chochote chenye uhalisia kuhusu madini? Au bado una zile porojo za 50 kwa 50 ? Kweli wapumbavu tanzania mpo wengi sanaHajaandika chochote huyo. Shujaa wa Afrika ni mtu ambaye anahakikisha Afrika hainyonyi raslimali zake kama alivyofanya kwenye madini. Aidha ni muhali shujaa wa Afrika kuuweka uafrika mbele baadala ya kusifia mabeberu. Upo hapo
Unauhakika Mbeya, Kawe na Bunda hayakupelekwa maendeleo?
Tuache propaganda dhaifu. Maendeleo gani mliyataka au mliyategemea hayo maeneo yawe katika utawala wa JPM?
Halafu chuki isitupofishe macho na fikra JPM hakuwahi kuchochea nchi kufarakana alisema wakati wao wanajifungia na Corona sisi tulime tukawauzie. Ni akili tu ya kawaida kwani nchi zilizoendelea hawafanyi kazi kipindi hiki? barakoa na chanjo mnayoililia inatoka wapi?
Na alihitajika sana na mataifa jirani hata kikwete pia lakini hakiwahi kuitwa shujaa wa africa sasa sijaju huyu huo ushujaa kafanya kipi nawatizama TBC nawaona wapumbavu wote kuanzia mkurugenzi wao hadi hao wachini yake maana hawajaona kwamba kuna kosa la kiitifaki kwenye hilo.Benjamin Wilium mkapa aliwahi kuwa msuluhishi wa migogo mbali mbali Ndani ya Afrika Mashariki
Kama mimi ningekuwa rais wa nchi hii kuna wajinga nisingeishia kuteka na kuwafunga kama tuhuma zinavyosema. Ningekwenda mwenyewe jela na kuwashushia kibondo ili kama k utakuwa na dhambi uko mbele nikahukumiwe vizuri.Wapo wanaomuona magufuli ni shujaa wao.
Na kama unavyojua marehemu hasemwi kwa mabaya yake.
Basi tumuache apumzike.
Ndio kafanya mengi sikatai.kafunga,katesa,kateka, na mengine mengi.lakini hauwezi kusimama leo na kuyasema hayo utaonekana mtu wa ajabu.
Maana huyo AMESHAMALIZA YAKE.
Hayupo tena wala hawezi kukujibu.basi muacheni aende .msameheni na kumtakia safari njema.huko aendako ni kugumu.
Muacheni marehemu apumzike.mmemsema sana tangu akiwa hai mpaka leo mnamsema ?
HAPANA
Huyo mkapa mlimponda vilevile.. msituletee..Za kuambiwa changanya na zako
Hao ukiwasikiliza sana utapoteza muda wako
Wanaongelea mambo ambayo hawayafahamu, Nyerere na hata Nelson Mandela hawana title hiyo kuwa ni Mashujaa wa Africa
Mashujaa wa Africa ni wananchi na wapiganaji waliomwaga damu kwa mataifa ya nchi zao na kuna vikao inabidi viwatangaze
Sasa Tanzania hiyo mamlaka sijui wametoa wapi?
Ben Mkapa alijenga taasisi imara kama Pccb, TRA, Tanroads na hakuitwa shujaa wa Tanzania au Africa
Ben Mkapa alifanya mageuzi makubwa kiuchumi
Halafu mjinga mmoja kanywa mataputapu huko anakuja hapa kutuaminisha eti huyu alikuwa na upendo!!? Siwezi kuwa mnafiki kwakweli. Pamoja na mazuri yake katika ujenzi wa miundombinu alishindwa kuunganisha watanzania kama taifa amesambaza chuki sana kwa maneno yake na ni afadhari asingekuwa anaongea labda , anamaneno mengi sana ya chuki.
Mkuu hili alilisema yeye wazi, kule Bunda alilisema kwa herufi kubwa
Kama mimi ningekuwa rais wa nchi hii kuna wajinga nisingeishia kuteka na kuwafunga kama tuhuma zinavyosema. Ningekwenda mwenyewe jela na kuwashushia kibondo ili kama k utakuwa na dhambi uko mbele nikahukumiwe vizuri.
KuMuacha haimaanishi na sumu aliyo isambaza ya kutokupendana itaenda naye mayendo yake ya uharibifu bado yataligharimu taifa chuki aliyo ipandikiza bado itaisumbua sana nchiTumuache tu apumzike.
Tuwaache wafu wazike wafu wao.
Kama shoga vile, ww piga Domo lakini serikali mtaendelea kuiskia tuuUpo?