Hayati JPM yuko kaburini mwaka wa pili sasa lakini bado anasumbua vichwa vya walioko hai na kufikia hatua ya kumshambulia na kumtukana kwa kila hali akiwa zake kaburini lakini umma wa watanzania unatetea na kuwapinga hadharani wanaomtukana.
Nguvu ya Hayati Magufuli inatoka wapi wakati hayuko duniani na hawezi kumsaidia hata yule anayemtetea mtandaoni na kwanini wenye fedha na waliohai wanashindwa na nguvu iliyoko kaburini.
Nini sababu
Nguvu ya Hayati Magufuli inatoka wapi wakati hayuko duniani na hawezi kumsaidia hata yule anayemtetea mtandaoni na kwanini wenye fedha na waliohai wanashindwa na nguvu iliyoko kaburini.
Nini sababu