Hayati Magufuli hayuko duniani lakini ana watetezi wengi kuliko wenye fedha walio hai

Hayati Magufuli hayuko duniani lakini ana watetezi wengi kuliko wenye fedha walio hai

Shujaa wa kupeleka pesa china?. Tena pesa zenyewe zilihamishwa baada ya kuvamia ofisi na kuiba computer yenye taarifa zote.
Unajielewa kweli, ulisema kafa kifo cha aibu, nimekuuliza kuna kifo cha aibu zaidi ya kile cha Yesu kusurubiwa uchi? Unahamisha magoli.

Marehemu anaweza vipi kuiba komputa kuhamisha fedha kwenda uchina? Kikulacho ki nguoni mwako.
 
Nchi imeoza yote kuanzia vyuo, vyama vya siasa, mfumo wa elimu, polisi, tuma za chaguzi ila cha ajabu mpumbavu mmoja anakuambia tatizo ni Magufuli… mtu mmoja ndio kashika majeshi, usalama, na kila kitu kweli!

Umeyaona matokeo ya watoto zetu? Magufuli ndio alikuwa mwalimu sio! Mchele kuwa 3200 tatizo ni Magufuli sio! Mnapenda sana kuambiwa ujinga mkaanza kuzungusha mikono hewani…

Kikwete alikuwa mtu wenu na bado mliishia kunywa juice ikulu, saizi yanajirudia tena don’t expect anything different, at least Magufuli was a honest thief…

Umeongea ukweli kwa sehemu. Sasa nani alaumiwe? Na tufanye nini?
 
Maana halisi ya mtu wa watu

Mtu wa watu huwa haibi pesa za watu. Mtu wa watu huwa hauwi raia na mtu wa watu huwa hafichi pesa nchi za nje, ikitokea ameiba huziacha hizo pesa hapa nchini ili mzunguko uwe mkubwa. Sasa mtu wa watu anaiba pesa na kwenda kuficha china kwa kina hi hang hong?.
 
Zito alishawaambia mfuateni aliko acheni kusumbua walio hai. Marehemu anatetewa ktkt nini wakati hawezi kujibu mashtaka yoyote yaliyo hapa duniani. Mna matatizo ya akili we ukiongoza. Kwa kuwa alikuwa rais maovu yake yataendelea kusemwa ili itoe funzo kwa walio hai. Km kina Adolf Hitler na Musolini wanajadiliwa bado sembuse mtu aliyefariki mwaka juzi tu hajafikisha hata miaka 2 kaburini? Alifanya mambo ya hovyo sana na angekuwa hai sijui leo tungekuwa wapi kuna watu wangeumia sana ndio maana watu wanasema Mungu ni fundi aliyajua yote hayo na ametuepusha nayo.

Km unampenda na umemmiss unaweza kuchukua hatua ukawahi kumfuata alipo vinginevyo subiri siku yako utamkuta tu usitusumbue sisi hatuna la kumkumbuka zaidi ya manyanyaso na ubaguzi uliokithiri. Hebu fikira watanzania waliomaliza vyuo mwaka 2015 mpaka leo wanadhalilika mitaani kisa kichaa moja tu wakati baba yetu Kikwete alikuwa anaajiri kila mwaka na majina yalikuwa yanachukuliwa vyuoni bado utatukumbushia habari za binadamu mwenye roho mbaya km yule? Bado alivyoharibu miji mikubwa hasa majiji, utafikiri ni makambi ya wakimbizi.
 
Hawa wasanii pesa zote hizi wamekula. Aisee halafu kujifanya wakali kumbe hakuna lolote. Warudishe pesa walizoficha china.
Eti wakali,nyie wajinga ndio mlikuwa mbaona ni WA maana,Asilimia zote ya miradi iliyotekelezwa awamu ya 5 yote Ina upigaji Kwa wakubwa,wao walikuwa wanawakandaniza Watumishi wadogo ili kuwa fool wajinga kwamba they are doing good na wanapambana na rushwa..

Pitieni miradi yote ya ULGSP utaona majibu,huo ni mfano mdogo tuu Kati Mingi..

Enzi za Jiwe ilikuwa marufuku kuonesha udhaifu wowote wa Serikali ikiwemo Watoto kukaa chini,kulundikana kama wako zizini na upuuzi kama huo..

Ila watu maskini na wajinga wasio na akili ndio walikuwa wanashangilia bila kujua haya but Kuna msemo unasema maskini ndio huliwa.
 
Unajielewa kweli, ulisema kafa kifo cha aibu, nimekuuliza kuna kifo cha aibu zaidi ya kile cha Yesu kusurubiwa uchi? Unahamisha magoli.

Marehemu anaweza vipi kuiba komputa kuhamisha fedha kwenda uchina? Kikulacho ki nguoni mwako.

Mbona unadandia gari kwa mbele mkuu?. Nilikuwa namjibu mtu mwingine, sio wewe. Kuja kwenye swali lako, kompyuta iliibiwa kipindi bado Magufuli bado ni rais, au umesahau mpaka maswi akahamishiwa nadhani mpanda kuwa Katibu Tawala.

Halafu kuhusu kifo cha aibu ni kwamba magufuli alitaka kumuua Lissu, ila Lissu akapona, Magufuli akaja kufa na kumuacha Lissu akiwa mzima wa afya. Yani wema ukaushinda ubaya.
 
Unajua kwanini kazi za wachungaji, mapadre na masheikh pamoja na kuzifanya kwa muda mrefu hapa duniani bado ni ngumu?
Sababu ni kuwa wapo wanadamu pamoja na kufundishwa ubaya wa Shetani wao bado wanamtetea na kuwa wafuasi wake.
Tafakari utaelewa
Imekaa kisomi zaidi hii
 
Tunasubiria ripoti ya BoT, Trilioni 1.5 na pesa za Tetemeko zilienda wapi. Za plea bargain tulishajua zilienda China.
 
Sema mzee wa pesa za china. JPM alikuwa na mikwra kumbe mwizi tu kama wengine.
Unauhakika na pesa za china? Au unafuata walamba asali.

Bahati nzuri mzee kafa hajawahi kufika huko china. Kwa hiyo tunawachora tu na uongo wenu huo.
 
Tunasubiria ripoti ya BoT, Trilioni 1.5 na pesa za Tetemeko zilienda wapi. Za plea bargain tulishajua zilienda China.
Ufisadi ni jina tuu hata wewe unaweza kuitwa, lakini je ni kweli utakuwa fisadi?

Watu wameitwa tu mafisadi na hakuna hata aliye chini ya ulinzi
 
Nionyeshe ushiriki wake na uniambie ni kina nani wamefikishwa mahakamani mpaka sasa

Ushiriki wake kivipi? Subiri siku DPP mstaafu atakapofika mahakamani. Umesahau Sabaya alivyojitetea kuwa yote aliyokuwa ananafanya kwa kuzunguka Arusha na Dar kufuatilia kodi alitumwa na Rais?. Sasa subili siku Mganga atakaposema walificha pesa nje kwa maelekezo ya rais.
 
Back
Top Bottom