Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Uongozi wa awamu ya 6 umejaza chawa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kusifia kazi njema na sio jambo baya kwenye siasa.
Lakini wapi raisi a trend mitandaoni mpaka siku atakayopanda jukwaani na kumnanga Magufuli izuke mijadala. Yaani bila ya vijembe kwa awamu ya tano mheshimiwa aendi mjini.
Tukio la jana Ikulu watu awazungumzii tume iliyoundwa, weledi wake na wala mantiki ya kazi yao. Mjadala ni Magufuli tu.
Leo raisi sijui alikuwa wapi hakuna ata anaefuatilia, why? Huko hakutoa lawama kwa awamu ya tano.
Kama mimi ndio raisi ni muda wa kuangalia mbinu za propagandist wangu kama kazi wanaiweza, iweje siendi mjini kwa kazi zangu za maendeleo, nikitaka niongolewe mimi au mikutano yangu mpaka ninange awamu ya tano tu.