Ndombwindo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2013
- 1,387
- 2,085
BIG alikufa USA hakuna aliyekamatwa , tupac hakuna aliyekamatwa, Bob Marley alipigwa risasi hakuna aliyekamatwa… unashangaa Tanzania like seriously! Kuna movement ukizianzisha ushishangazwe na matokeo maana hujui adui amekalia upande gani, wakati mwingine unaweza tupwa kwenye shimo na ndugu zako kama stori ya Yusuph wakiona unang’ara kuliko wakubwa zako… mimi hata sishangai na siamini mtu hasa wakaribu yangu, maana wana file langu mkononi…..A game in death?. Hakuna aliyekamatwa, hakuna upelelezi, hakuna mshitakiwa etc? Ukweli unajulikana nani mhusika
Vipi kama wale walinzi walilipwa waondoke getini na mpaka leo hawajulikani walipo kama dereva wa Lisu? “Trust nobody” - Tupac