Hayati Magufuli hayuko duniani lakini ana watetezi wengi kuliko wenye fedha walio hai

Hayati Magufuli hayuko duniani lakini ana watetezi wengi kuliko wenye fedha walio hai

Hili suala la Ben Saanane majibu anayo Mbowe, Bosi wake, iweje apotee Chacha Wangwe, atoweke Ben, Ashambuliwe Lisu na yeye ambaye ndio mwenye kondoo awepo imara kama simba? All roads lead to Machame.

Mtajitetea sana. Aliyemuua Ben Sanane akadhani ataishi milele naye kamfuata huko bila kupenda. Mbowe kaajiri wanajeshi wastaafu kapewa kesi ya ugaidi. Ndio afanye ujinga huo si wangemfunga maisha tena kesi ingeendeshwa live TBC.
 
Mshamba mwenyewe usiye na haya. Imekuuma sana. Subiri mambo yawekwe wazi wezi nyie . Mnajifanya wakali kumbe wezi. Unaficha pesa za plea bargain china?
Umeiba Trilion 1.5 na bado ukaiiba pesa za tetememko bukoba na bado ukaiba kura 2020. Yule ibilisi bora aliondoka kabisa.
Mshamba ni wewe unayeibiwa mchana kweupe na bado umezubaa, saizi unaibiwa kupitia buyu la asali na bado unajifariji… mnachezewa na wanasiasa kama mwanaselele hadi raha… Taifa la wajinga hili.
 
Mtajitetea sana. Aliyemuua Ben Sanane akadhani ataishi milele naye kamfuata huko bila kupenda. Mbowe kaajiri wanajeshi wastaafu kapewa kesi ya ugaidi. Ndio afanye ujinga huo si wangemfunga maisha tena kesi ingeendeshwa live TBC.
Mbowe ni kibaraka wa baadhi ya wanaCCM ambao ndio wapo mjengoni awamu hii kwa upande wa pili, kwenda magereza ilikuwa geresha…. Endeleeni kuwaamini hao.
 
Alipotea au yupo kajichimbia Ujerumani kama zile stori za kina Daudi Balali!!!

Siasa mchezo mchafu, Magu hakuzijua siasa, alijua kufanya kazi, ndio maana mnabebwa bado na kauli mbiu ya “Kazi”.

Tatizo la watanzania hamna ubinadamu. Mnaendekeza uchama na kusahau ben sanane alikuwa mtanzania, kisa chadema unaona ben sanane alikuwa hana haki ya kuishi?. Eti ujerumani, ulimpeleka yeye. Magufuli kaiba phd thesis asiambiwe ukweli ndio amuue ben sanane?. Bora aliondoka yule ibilisi mwenye roho mbaya.
 
Hayati JPM yuko kaburini mwaka wa pili sasa lakini bado anasumbua vichwa vya walioko hai na kufikia hatua ya kumshambulia na kumtukana kwa kila hali akiwa zake kaburini lakini umma wa watanzania unatetea na kuwapinga hadharani wanaomtukana.

Nguvu ya Hayati Magufuli inatoka wapi wakati hayuko duniani na hawezi kumsaidia hata yule anayemtetea mtandaoni na kwanini wenye fedha na waliohai wanashindwa na nguvu iliyoko kaburini.

Nini sababu
WATETEA MAOVU HAO
 
Neno Moja kwa Hawa majizi
20230201_123847.jpg
20230201_123713.jpg
20230201_123411.jpg
 
Tatizo la watanzania hamna ubinadamu. Mnaendekeza uchama na kusahau ben sanane alikuwa mtanzania, kisa chadema unaona ben sanane alikuwa hana haki ya kuishi?. Eti ujerumani, ulimpeleka yeye. Magufuli kaiba phd thesis asiambiwe ukweli ndio amuue ben sanane?. Bora aliondoka yule ibilisi mwenye roho mbaya.
Nchi imeoza yote kuanzia vyuo, vyama vya siasa, mfumo wa elimu, polisi, tuma za chaguzi ila cha ajabu mpumbavu mmoja anakuambia tatizo ni Magufuli… mtu mmoja ndio kashika majeshi, usalama, na kila kitu kweli!

Umeyaona matokeo ya watoto zetu? Magufuli ndio alikuwa mwalimu sio! Mchele kuwa 3200 tatizo ni Magufuli sio! Mnapenda sana kuambiwa ujinga mkaanza kuzungusha mikono hewani…

Kikwete alikuwa mtu wenu na bado mliishia kunywa juice ikulu, saizi yanajirudia tena don’t expect anything different, at least Magufuli was a honest thief…
 
Mshamba ni wewe unayeibiwa mchana kweupe na bado umezubaa, saizi unaibiwa kupitia buyu la asali na bado unajifariji… mnachezewa na wanasiasa kama mwanaselele hadi raha… Taifa la wajinga hili.

Mimi wala sina shida wakiiba, shida yangu ni pale kiongozi anapojifanya hapendi wizi, kumbe ndio mwizi balaa. Mpaka anaficha pesa china kwa kina mao.
 
Mbowe ni kibaraka wa baadhi ya wanaCCM ambao ndio wapo mjengoni awamu hii kwa upande wa pili, kwenda magereza ilikuwa geresha…. Endeleeni kuwaamini hao.

Hizo ni conspirancy theory za kuiondoa CCM kwenye tuhuma. Aliyekuambia hivyo alikuingiza kingi. Kwa kifupi, Mtu aliyekuwa na chacha wangwe kwenye gari alikuja kutolewa kwa msamaha na kikwete. Wewe hujiulizi, na mpaka leo hajulikani alipo.
 
Mnadundika na kila beat linalodunda, washamba kweli nyie, mkisikia China na nyie haoooo!!! Huko china Samia si anamandate ya kuwasiliana na ubalozi wafuatilie akija kwa wananchi arudi na majibu sio umbea umbea… shtukeni enyi walamba asali…Enzi za mwamba ingekuwa ni taarifa rasmi sio umbea.
Ujue China sio Arusha, Kilimanjaro, Mwanza au Kigoma. Kule wana sheria zao. Je una hakika mamlaka za huko zinaweza kuingilia akaunti za watu benki? Inajulikana duniani kote viongozi wa Afrika wanaiba utajiri wa nchi zao na kficha nje. Wakati wote imekuwa vigumu kuzirejesha pesa walizoiba. Pili, tusaidie: zile pesa za 'plea bargain' ziko wapi? Maana kinara amedokeza nyingine zimefichwa China. Wewe unakanusha?
 
Back
Top Bottom