Unajua kwanini kazi za wachungaji, mapadre na masheikh pamoja na kuzifanya kwa muda mrefu hapa duniani bado ni ngumu?Mi mtu nikimuona anam Dis magu namuona kama kilema wa akili
Sindano imekufika kunako mfupaUnajua kwanini kazi za wachungaji, mapadre na masheikh pamoja na kuzifanya kwa muda mrefu hapa duniani bado ni ngumu?
Sababu ni kuwa wapo wanadamu pamoja na kufundishwa ubaya wa Shetani wao bado wanamtetea na kuwa wafuasi wake.
Tafakari utaelewa
Hayati JPM yuko kaburini mwaka wa pili sasa lakini bado anasumbua vichwa vya walioko hai na kufikia hatua ya kumshambulia na kumtukana kwa kila hali akiwa zake kaburini lakini umma wa watanzania unatetea na kuwapinga hadharani wanaomtukana.
Nguvu ya Hayati Magufuli inatoka wapi wakati hayuko duniani na hawezi kumsaidia hata yule anayemtetea mtandaoni na kwanini wenye fedha na waliohai wanashindwa na nguvu iliyoko kaburini.
Nini sababu
Mi mtu nikimuona anam Dis magu namuona kama kilema wa akili
Chuma kile!
waulize watu waliowekwa ndani kwa makosa ya kubambikiziwa kisha wakapolwa pesa zao na mali kwa kilichoitwa PLEA BARGAINING usikie maoni yao.Mi mtu nikimuona anam Dis magu namuona kama kilema wa akili
Mi mtu nikimuona anam Dis magu namuona kama kilema wa akili
Shetani inaeleweka hakuwa mwanadamu, na ana nguvu za kiroho hata katika kutokuonekana kwake.Hata Beni Saa nane alipotea zamani lkn bado ana watetezi mpaka sasa.... "Hata shetani ana chawa wake"
Mnadundika na kila beat linalodunda, washamba kweli nyie, mkisikia China na nyie haoooo!!! Huko china Samia si anamandate ya kuwasiliana na ubalozi wafuatilie akija kwa wananchi arudi na majibu sio umbea umbea… shtukeni enyi walamba asali…Enzi za mwamba ingekuwa ni taarifa rasmi sio umbea.Unaweza ukawa wewe ndio kilema wa akili. Kulazimisha wote wamwabudu magufuli, mzee wa pesa za china.
Hili suala la Ben Saanane majibu anayo Mbowe, Bosi wake, iweje apotee Chacha Wangwe, atoweke Ben, Ashambuliwe Lisu na yeye ambaye ndio mwenye kondoo awepo imara kama simba? All roads lead to Machame.Shetani inaeleweka hakuwa mwanadamu, na ana nguvu za kiroho hata katika kutokuonekana kwake.
Tueleze: imewezekanaje kwa mwanadamu, tena ambaye anachafuliwa na mkuu wa serikali, chawa wake, mabeberu na vibaraka wao?
PS: Ben Saanane hana watetezi wengi kama JPM.
Alipotea au yupo kajichimbia Ujerumani kama zile stori za kina Daudi Balali!!!Hata Beni Saa nane alipotea zamani lkn bado ana watetezi mpaka sasa.... "Hata shetani ana chawa wake"
Hahahahaahaaa!!!! Unajua kifo cha Yesu alikufaje? Mashujaa hufa hivyo boss…Mtetezi wa ben sanane ni Mungu ndio maana yule ibilisi magufuli alikufa kifo cha aibu.
Mnadundika na kila beat linalodunda, washamba kweli nyie, mkisikia China na nyie haoooo!!! Huko china Samia si anamandate ya kuwasiliana na ubalozi wafuatilie akija kwa wananchi arudi na majibu sio umbea umbea… shtukeni enyi walamba asali…Enzi za mwamba ingekuwa ni taarifa rasmi sio umbea.