Hayati Magufuli hayuko duniani lakini ana watetezi wengi kuliko wenye fedha walio hai

Ndio maana nikakuuliza kiongozi muovu yukoje? Jiamini eleza sio unakosa kujiamini na kuanza kusema kila mtu ana kipimo chake, we eleza kiongozi muovu huwa yupo hivi na vile.
Unachoshwa tu mijitu ya hovyo kwa hovyo mkuu
 
Ndio maana nikakuuliza kiongozi muovu yukoje? Jiamini eleza sio unakosa kujiamini na kuanza kusema kila mtu ana kipimo chake, we eleza kiongozi muovu huwa yupo hivi na vile.

Kama alivyokuwa Magufuli. Kipi huelewi hapo?
 
Mtajitetea sana. Aliyemuua Ben Sanane akadhani ataishi milele naye kamfuata huko bila kupenda. Mbowe kaajiri wanajeshi wastaafu kapewa kesi ya ugaidi. Ndio afanye ujinga huo si wangemfunga maisha tena kesi ingeendeshwa live TBC.
Aliyemuua ben saanane muulize wa kwenye avatar yako
Ye mbona hamfuati mama yake
 
Alikuwa Mtu na Nusu.
 
Unajuwa wahanga wa magufulification,watu wameumizwa watu wamegeuzwa wahanga wa mfumo kandamizi. Lakini huwezi kumlazimisha mtu na mtazamo wake
 
Ushetani wa Jiwe ulikuwa nguvu za taasisi ya urais pamoja lundo la chawa na jamii ya wajinga wasiojitambu ambao wote wanaendelea kuhaha kwa namna zote kusafisha madhambi yake ambayo hayasafishiki, hakuna mtu anayejimbua ambaye anatetea udhalimu wa lile zimwi-mtu.
 
Ushenzi aliofanya lazima usemwe,uuaji,utekaji,kubambikia watu kesi,uporaji wa mabilioni ya plea bargain na mengine mengi
 
Poleni nyote kwa Huzuni.

Maharamia wamekosa kazi,yaani waliofikiri wanawatetea na....

....kuwashauri hawana habari nao. Hawana jinsi, wanaHuzunika.

Nina uhakika, nyie ambao kila kukicha mnatumia jina Lake kwenye nyuzi zenu, mnafaidika kwa fedha. Ipo siku mtatapika kwa uchungu, mtatubu.

Amani
 
Acha uongo taarifa gani ya kweli iliyokuwa inatolewa awamu ya Magu, hata waliodiriki kutuhabarisha ukweli waliishia kuwekwa ktk viroba kama si kipigwa risasi.
 
Hivi ule wimbo wa legacy ulizimikia wapi vile
 
Sahivi hakuna chawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…