Hayati Magufuli huwezi kusahaulika kwa miaka mingi sana kwa Meli kubwa Ziwa Victoria

Neno chawa hutumiwa na wale wanaoshindwa kujenga hoja sawa na zile wanazozisoma mahali hivyo kukimbilia kutukana watu kwa kuwaita chawa.

Ukimsifu SSH unaitwa chawa wake ukimsifu Hayati JPM unaitwa chawa wake!, bull shit.
Wewe wacha tukuite kunguni wa Jiwe
 
Leo yuko wapi?
 
Nitaendelea kumilia JPM hata kipindi ambacho nahisi binadamu hawezi kuwa hai kutokana na uzee Bwana yule Mungu amuangazie mwanga wa milele Amina.
 
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
SAWA
 
Si mbaya ni mtamzania na tanzania inajivunia kumbuka pia mimi nawewe niwa tanzania hakika anastahiri heshima kwa mema yake lakini nndiyo hivyo hatuko nae tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…