Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Vibaya sana na Mungu hana mshindaniTumeisha msahafu, mungu ni fundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vibaya sana na Mungu hana mshindaniTumeisha msahafu, mungu ni fundi
Hivi na corona ipo kwenye magonjwa mtambuka?Lile basi la Lissu vipi tena?
Wewe wacha tukuite kunguni wa JiweNeno chawa hutumiwa na wale wanaoshindwa kujenga hoja sawa na zile wanazozisoma mahali hivyo kukimbilia kutukana watu kwa kuwaita chawa.
Ukimsifu SSH unaitwa chawa wake ukimsifu Hayati JPM unaitwa chawa wake!, bull shit.
Leo yuko wapi?Sisifii tu bila ya sababu za msingi. ATCL ilikuwa imekufa miaka mingi?, mbona waliokuwepo walikuwa wanaahirisha ufufuaji wake?.
Dodoma kila rais alishindwa kuhamia wakija na visingizio vingi tu, leo nchi ipo Dodoma.
Kama hujapoteza ndugu pale ziwani wakati wa kusafiri huwezi kuelewa umuhimu wa ile meli mpya.
Kaka ungetafuta yale majukwaa ya starehe na udaku, naona kama ndio saizi yako.Wewe wacha tukuite kunguni wa Jiwe
Ccm ni wachawiNi rahisi kuropoka maneno ukiwa nyuma ya keyboard mbali kabisa na shida za usafiri za watu wa kanda ya ziwa,
Unajua idadi kamili ya waliokufa siku ile pale ziwani wakati meli ilipozama?.
Unaonekana wazazi wako walikupatia kwenye mkesha wa mbio za mwenge.Baba yako tunamkumbuka kwa lipi au kwa kutoa shahawa yako chafu
Wewe unaumizwaga wapi ebu twambieKenge wewe uliyesoma na kuumizwa moyoni.
Jiwe hayupo tena dunianiElewa vizuri huo uzi na punguza chuki zisizo na msingi.
[emoji106][emoji106][emoji106]Hakuna rais ambaye hajaacha kitu ambacho ni tangible. Jpm naye kama wengine wakati wa kipindi chake hivyo ulivyoorodhesha vimejengwa. Kumbuka pia tangu awamu ya kwanza, pili, tatu na nne kila awamu imeacha alama fulani. Na kazi ya serikali ni hiyo hivyo tuache ujinga wa kusifiasifia utadhani rais anatoa hisani.
Unamtangazia nani sasa?Nitaendelea kumilia JPM hata kipindi ambacho nahisi binadamu hawezi kuwa hai kutokana na uzee Bwana yule Mungu amuangazie mwanga wa milele Amina.
Baada ya Jiwe kutwaliwa naona vibaraka wake mnaishi maisha ya kupe tu kwa shemeji zenuKaka ungetafuta yale majukwaa ya starehe na udaku, naona kama ndio saizi yako.
SAWAMwaka 1996 wakati ajali kubwa ikitokea Ziwa Victoria mimi nilikuwa Ukraine nikiwa nimemaliza mwaka wa kwanza wa lugha nikijitayarisha kuingia mwaka wa masomo. Nakumbuka namna sisi watanzania tulivyoanzisha mjadala juu ya ajali hiyo iliyoua ndugu na jamaa zetu wengi.
Mwaka huu itatimia miaka 27 tangu msiba ule utokee. Huwa tunalo tatizo la kutoa takwimu halisi za vifo haswa kwa malengo ya kisiasa yenye nia ya kujaribu kupunguza hasira za walengwa wa moja kwa moja wa ajali (victims). Ni hulka iliyoendelea kuwepo kwa muda mrefu. Ukisika wamekufa watu 10,000 basi tambua ni zaidi ya 30,000 wamepoteza maisha.
Sina uhakika kama hayati JPM alipoteza ndugu zake wa karibu katika msiba ule mzito. Lakini kwa maamuzi ya kutoangalia watasema nini wale wakosoaji wa kila jambo akaamua kwa ushujaa kuanza kujenga meli kubwa ili itumike katika Ziwa Victoria. Ni maamuzi ya kijasiri sana na ya kizalendo.
Kuwa tayari huku mtaani watu walalamike vyuma vimekaza lakini serikali yake ikiwa inafanya kazi yenye kuacha kitu chenye kuonekana maishani mwetu (tangible).
Serikali ya JPM licha ya lawama na upungufu wa hapa na pale lakini iliweza kwa kiasi kikubwa kupambana kuacha vitu vyenye kuonekana na vyenye kuweza kupigiwa hesabu vimenunuliwa kwa pesa kiasi gani.
Manunuzi ya ndege mpya na ukarabati wa viwanja kadhaa, ujenzi wa daraja la Busisi na haya ya hapa Dar, na mambo mengi yenye kuonekana na hivyo kuchangia katika mzunguko wa pesa kiuchumi na kuinua kiwango cha maisha cha watu hao hao.
Vilio vya wote waliofiwa na ndugu zao pale ziwani tarehe 21 May 1996 angalau vimefutwa machozi na uwepo wa Meli yenye kuweza kubeba watu 2700 na tani 400 za bidhaa mbalimbali.
Wale watoto waliokuwa yatima kwa sababu ya ajali ile katili, angalau wanacho chombo cha kusafiria wakiwa na amani moyoni.
Wale wajane walioishi miaka 27 wakiwaombea misa maalum wenza wao kila siku makanisani wanacho chombo cha kusafiria chenye kulingana na uzito wa kodi wanayolipa kila wanaponunua chochote mahali popote.
JPM kwa hii meli ya Ziwa Victoria mimi kama mtu mwenye asili ya kanda ya ziwa nitakuenzi daima. Ulale mahali pema peponi.
Hana mema aliyofanyaSi mbaya ni mtamzania na tanzania inajivunia kumbuka pia mimi nawewe niwa tanzania hakika anastahiri heshima kwa mema yake lakini nndiyo hivyo hatuko nae tena
Nilikufanyia unyama gani my wife?Mnaishi maisha magumu huko mafichoni kisa unyama mliowafanyia watanzania wasiyo na hatia
Your wife ni yule aliyekuzalia kwenye mkesha wa mbio za mwengeNilikufanyia unyama gani my wife?
You're anus is containing dungs!Tumemsahau Nyerere aliyejenga Tazara atakuwa huyo dikteta Kwa sababu ya kimeli tuu?
Stupid [emoji242]You're anus is containing dungs!