Hayati Magufuli, kama sio leo basi ni suala la muda tu kupewa tuzo ya heshima kama Rais aliyesimamia vema rasilimali na kupunguza kero kwa wananchi

Alikuwa anaafanya kazi ya kusikiliza simu zilizodukuliwa siku nzima
 
Unaonaje akipewa na utakatifu kabisa awe kwenye mchakato na Nyerere??
 
akili zenu ninyi sukuma gang, huwa ni ndogo sana, no wonder miaka ya nyumba waliwaita mang'ombe. unafikiri kwanini masai ni wafugaji lakini hawajawahi kuitwa mangómbe? ni kwasababu wana akili. sukuma gang huwa hamnaga akili na hamtakaa mtawale tena hii nchi. never. tumeshajifunza kutokana na makosa.
 
Huwezi ukampenda Malaya ama mchepuko na familia yako ukaipenda,lazima ukomae sehemu moja ama usaliti pengine. The mastery of the craft
 
Pumbavu

Nitafutie majina ya ma professor 50 nchini, kama wengi wao sio wasukuma!

Vyuo vyote nchini, wengi wa wanafunzi kama sio wasukuma!

Pumbavu wewe mkabila mkubwa
 
Pumbavu

Nitafutie majina ya ma professor 50 nchini, kama wengi wao sio wasukuma!

Vyuo vyote nchini, wengi wa wanafunzi kama sio wasukuma!

Pumbavu wewe mkabila mkubwa
wewe ambaye unawafahamu ndio uwataje. mimi nijuavyo vyuo vingi vimejaa maprof wahaya, wachagga, wangoni n.k., wasukuma hawahawa ambao majority hawana hata dini (wapagani) wanaishi tu porini ndio unawasema au wengine? ndio maana you are too easy to control.
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Kuna mwenzio kama wewe alikuwa ndy wa kwanza kuvunja sanamu la Gadafi na kulitupa baharini,,

Leo anatamani Gadafi aamke amuombe radhi,,
Anatamani apige mbizi alirudishe sanamu la Gadafi lilipokuwa.,

Muda ni mwalimu mzr...
 
Tehe tehe!

Kwamba ndoa anaongoza kulitafuta huko baharini?
 
Kuna mwenzio kama wewe alikuwa ndy wa kwanza kuvunja sanamu la Gadafi na kulitupa baharini,,

Leo anatamani Gadafi aamke amuombe radhi,,
Anatamani apige mbizi alirudishe sanamu la Gadafi lilipokuwa.,

Muda ni mwalimu mzr...

Thubutu, kwa taarifa yako hakuna mwenye hamu na Gaddafi regardless ya kinachoendelea. Hizo propaganda katafute wasiojua lolote.
 
Thubutu, kwa taarifa yako hakuna mwenye hamu na Gaddafi regardless ya kinachoendelea. Hizo propaganda katafute wasiojua lolote.
Na wale walibya wanaokimbizana kwenye maboti kukimbilia ulaya pia hawana hamu na Gadafi?
Maisha ya Libya y Sasa ni magumu wala hayajawahi tokea tangu libya iumbwe.

Hivi Libya ya Gadafi ndy Libya ya leo?

Basi kama ni hivyo siasa zenu ni za chuki na sio kuendeleza inchi.
 
Hao wanaokimbia ni wale waliokuwa wanalia kivulini kipindi cha dictator Gaddafi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…