Mtandao wa filamu wa Netflix una program zake za kuzipandisha na kuzishusha filamu (ranking), kwa mujibu wa watu wanavyozipenda na kutozipenda filamu hizo.Ninashangaa sana hili. JPM anaonekana kuwa Kiongozi mzuri sana kati ya viongozi walioitumikia Tanzania na wakati huo huo anaonekana ni Kiongozi mbaya sana kati ya wote waliopita - Hasa kwenye jambo la ukatili! Hili kwa kweli linanishangaza sana kwa sababu anatrend kuliko wote kwa pande zote hizo - ubaya na uzuri! Sijui wenzangu mnasemaje?
Alikuwa na strong personality. Na ndio dawa muhimu ya kupambana na maisha.Ninashangaa sana hili. JPM anaonekana kuwa Kiongozi mzuri sana kati ya viongozi walioitumikia Tanzania na wakati huo huo anaonekana ni Kiongozi mbaya sana kati ya wote waliopita - Hasa kwenye jambo la ukatili! Hili kwa kweli linanishangaza sana kwa sababu anatrend kuliko wote kwa pande zote hizo - ubaya na uzuri! Sijui wenzangu mnasemaje?
Uzuri wake upo ndani ya mioyo ya watu wa Hali ya chini ambao ni wengi na hawaongei, ubaya wake upo mdomoni mwa wachache waliopigwa pin kisiasa na ndo midomo yao imefunguliwa wanatumia njia zote kuwaaminisha walio wengi kuwa JIWE alikuwa fisadi. Ni hayo Tu nawatakia Heri ya Pasaka
Watu wa chini ndio wanaomfurahia? basi wacha waendelee kuwa wa chini.Uzuri wake upo ndani ya mioyo ya watu wa Hali ya chini ambao ni wengi na hawaongei, ubaya wake upo mdomoni mwa wachache waliopigwa pin kisiasa na ndo midomo yao imefunguliwa wanatumia njia zote kuwaaminisha walio wengi kuwa JIWE alikuwa fisadi. Ni hayo Tu nawatakia Heri ya Pasaka
Na wameshindwa kumchafua aiseeeHaha! Hujaelewa kitu kimoja kinachochezwa,ukweli ni huu wanaogopa legacy ya magufuli maana imewavaa watu, sasa wanashindwa kupambana na mazuri yake kwa mazuri bali wanamchafua ili aonekane mbaya ili nao wafanye mabaya! Maana wanajijua level zile hawafiki!.
Yani hiki kikundi kidogo cha wahuni kinacholipwa pesa kuichafua legacy ya mwamba wa dunia JPM hapa JF ndiyo uamini kuwa ana mabaya? Utakuwa hauko makini na una matumizi mabaya sana na ubongo wako.Ninashangaa sana hili. JPM anaonekana kuwa Kiongozi mzuri sana kati ya viongozi walioitumikia Tanzania na wakati huo huo anaonekana ni Kiongozi mbaya sana kati ya wote waliopita - Hasa kwenye jambo la ukatili! Hili kwa kweli linanishangaza sana kwa sababu anatrend kuliko wote kwa pande zote hizo - ubaya na uzuri! Sijui wenzangu mnasemaje?
Haha! Hujaelewa kitu kimoja kinachochezwa,ukweli ni huu wanaogopa legacy ya magufuli maana imewavaa watu, sasa wanashindwa kupambana na mazuri yake kwa mazuri bali wanamchafua ili aonekane mbaya ili nao wafanye mabaya! Maana wanajijua level zile hawafiki!.
Watu wa chini ndio wanaomfurahia? basi wacha waendelee kuwa wa chini.
Nilidhani wangemfurahia kwa maisha yao kuboreka zaidi kumbe sivyo?
Magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Ni fireeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Ni fireeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ni sawa na mtu amefungwa matambala usoni kamba tumboni mikono nyuma ya mti wanajaribu kumchangia mkumpiga lakini Cha ajabu Sasa aliyefungwa mikono (magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii) wanamchangia kumtandika makonde ajabu yake Sasa wait hawajafungwa Tena Ni wengi kila wakimsogelea wao ndo wanatandikwa makonde ya tumbo ,kisogo ,utosini,yaani wako hoi nyapi nyapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii huko uliko magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii endelea kuwapa za uso wengine wameanza kujikojolea huku,we endelea kumimina makonde mfululizo, magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii forever
Huwa najiuliza sana mtu kama Mandela aliwafanyia nini watu wake mpaka awe na legacy kubwa nchini kwake na kimataifa? Naona katika kazi ulizoziorodhesha sioni alijishughulisha na ipi,lakini anasifiwa kuliko kiongozi yeyote Africa.Yani hiki kikundi kidogo cha wahuni kinacholipwa pesa kuichafua legacy ya mwamba wa dunia JPM hapa JF ndiyo uamini kuwa ana mabaya? Utakuwa hauko makini na una matumizi mabaya sana na ubongo wako.
Flyovers(Ubungo)
Umeme wa bwawa,
Mahospitali,
Reli ya kisasa ya umeme (SGR)
Barabara tena za kisasa (Ubungo hadi Mbezi mwisho),
Kuifikisha TZ uchumi wa kati.
Kutumbua vyeti feki,
Kubana matumizi yasiyo na ulazima(kusafiri nnje ya nchi)
Kuboresha mikataba upya ya madini (Barrick company),
Kulinda rasilimali zisitoroshwe nnje ya nchi (Twiga, ndovu)
Kupunguza na kuzuia madawa ya kulevya,
Kuboresha bandari zote (za maji na kavu),
Kujenga viwanja vya ndege (Terminal 3),
Kununua ndege za kisasa 11,
Kudhibiti mifumuko ya bei,
Kujenga stendi za kisasa za mabasi,
Nimechoka kuandika, lakini mwenye akili na mwenye macho haambiwi "ONA".
JPM "Hata kama hamniamini mimi basi aminini kazi zangu"
Hivi kwa mauaji ya wakosoaji na kesi za kubambika anachafuliwa wapi?Haha! Hujaelewa kitu kimoja kinachochezwa,ukweli ni huu wanaogopa legacy ya magufuli maana imewavaa watu, sasa wanashindwa kupambana na mazuri yake kwa mazuri bali wanamchafua ili aonekane mbaya ili nao wafanye mabaya! Maana wanajijua level zile hawafiki!.