Hayati Magufuli kwanini ana pande zote za uongozi? Yaani ana upande mzuri sana na mbaya sana kuliko wenzake waliotangulia

Hayati Magufuli kwanini ana pande zote za uongozi? Yaani ana upande mzuri sana na mbaya sana kuliko wenzake waliotangulia

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,321
Reaction score
2,106
Ninashangaa sana hili. JPM anaonekana kuwa Kiongozi mzuri sana kati ya viongozi walioitumikia Tanzania na wakati huo huo anaonekana ni Kiongozi mbaya sana kati ya wote waliopita - Hasa kwenye jambo la ukatili!

Hili kwa kweli linanishangaza sana kwa sababu anatrend kuliko wote kwa pande zote hizo - ubaya na uzuri!

Sijui wenzangu mnasemaje?
 
Haha! Hujaelewa kitu kimoja kinachochezwa,ukweli ni huu wanaogopa legacy ya magufuli maana imewavaa watu, sasa wanashindwa kupambana na mazuri yake kwa mazuri bali wanamchafua ili aonekane mbaya ili nao wafanye mabaya! Maana wanajijua level zile hawafiki!.
 
Uzuri wake upo ndani ya mioyo ya watu wa Hali ya chini ambao ni wengi na hawaongei, ubaya wake upo mdomoni mwa wachache waliopigwa pin kisiasa na ndo midomo yao imefunguliwa wanatumia njia zote kuwaaminisha walio wengi kuwa JIWE alikuwa fisadi. Ni hayo Tu nawatakia Heri ya Pasaka
 
Ninashangaa sana hili. JPM anaonekana kuwa Kiongozi mzuri sana kati ya viongozi walioitumikia Tanzania na wakati huo huo anaonekana ni Kiongozi mbaya sana kati ya wote waliopita - Hasa kwenye jambo la ukatili! Hili kwa kweli linanishangaza sana kwa sababu anatrend kuliko wote kwa pande zote hizo - ubaya na uzuri! Sijui wenzangu mnasemaje?
Mtandao wa filamu wa Netflix una program zake za kuzipandisha na kuzishusha filamu (ranking), kwa mujibu wa watu wanavyozipenda na kutozipenda filamu hizo.

Yani, unavyoipa filamu nyota tano, ndiyo inapanda daraja, unavyoipa nyota nne, inashuka n.k. Na mtandao unaweza kukupa mrejesho wa filamu gani usizozijua unaweza kuzipenda, kwa kuangalia watu walivyopenda filamu ulizopenda wamepemda filamu gani nyingine ambazo hujaziona.

Kuna filamu moja inaitwa "Napoleon Dynamite", ilileta mtafaruku sana. Kwa sababu, zile program zote za kupandisha na kushusha filamu zilishindwa kuiweka filamu hii katika upande wowote.

Mara nyingi program za "algorithm" za Netflix ziliweza kutabiri utapenda filamu gani, kwa kuangalia filamu nyingine ulizozipenda. Lakini, kwenye filamu ya "Napoleon Dynamite", algorithms zilishindwa kutabiri.

Kwa hivyo, inawezekana Magufuli naye alikuwa anaelekea kuwa rais wetu "Napoleon Dynamite" aliyevunja algorithms zetu.

Kujibu swali lako, inawezekana Magufuli alikuwa anaonesha mambo ambayo wengi walikuwa wanataka, na mengine ambayo wengi hawataki.

Hili limefanya hata wengine wanaomkataa wawe na mengi waliyopenda kutoka kwake, na hata waliomkubali wawe na mengi wasiyoyapenda kutoka kwake.

Tofauti inakuwa vipaumbele tofauti kwa watu tofauti.

Kuna watu wanaona bora rais dikteta anayejenga barabara.

Wengine wanaona kujengewa barabara na rais dikteta ni kitu kibaya.

Hapo watu hawawezi kukubaliana.
 
Ninashangaa sana hili. JPM anaonekana kuwa Kiongozi mzuri sana kati ya viongozi walioitumikia Tanzania na wakati huo huo anaonekana ni Kiongozi mbaya sana kati ya wote waliopita - Hasa kwenye jambo la ukatili! Hili kwa kweli linanishangaza sana kwa sababu anatrend kuliko wote kwa pande zote hizo - ubaya na uzuri! Sijui wenzangu mnasemaje?
Alikuwa na strong personality. Na ndio dawa muhimu ya kupambana na maisha.
Hao watu wapo katika jamii.
Wazee wa kunyoosha rula.
 
Uzuri wake upo ndani ya mioyo ya watu wa Hali ya chini ambao ni wengi na hawaongei, ubaya wake upo mdomoni mwa wachache waliopigwa pin kisiasa na ndo midomo yao imefunguliwa wanatumia njia zote kuwaaminisha walio wengi kuwa JIWE alikuwa fisadi. Ni hayo Tu nawatakia Heri ya Pasaka

Wizi wake uko kwenye ripoti za CAG. Sasa ww unaleta porojo za mahaba niue wakati ukweli official upo!
 
Uzuri wake upo ndani ya mioyo ya watu wa Hali ya chini ambao ni wengi na hawaongei, ubaya wake upo mdomoni mwa wachache waliopigwa pin kisiasa na ndo midomo yao imefunguliwa wanatumia njia zote kuwaaminisha walio wengi kuwa JIWE alikuwa fisadi. Ni hayo Tu nawatakia Heri ya Pasaka
Watu wa chini ndio wanaomfurahia? basi wacha waendelee kuwa wa chini.

Nilidhani wangemfurahia kwa maisha yao kuboreka zaidi kumbe sivyo?
 
Haha! Hujaelewa kitu kimoja kinachochezwa,ukweli ni huu wanaogopa legacy ya magufuli maana imewavaa watu, sasa wanashindwa kupambana na mazuri yake kwa mazuri bali wanamchafua ili aonekane mbaya ili nao wafanye mabaya! Maana wanajijua level zile hawafiki!.
Na wameshindwa kumchafua aiseee
 
Ninashangaa sana hili. JPM anaonekana kuwa Kiongozi mzuri sana kati ya viongozi walioitumikia Tanzania na wakati huo huo anaonekana ni Kiongozi mbaya sana kati ya wote waliopita - Hasa kwenye jambo la ukatili! Hili kwa kweli linanishangaza sana kwa sababu anatrend kuliko wote kwa pande zote hizo - ubaya na uzuri! Sijui wenzangu mnasemaje?
Yani hiki kikundi kidogo cha wahuni kinacholipwa pesa kuichafua legacy ya mwamba wa dunia JPM hapa JF ndiyo uamini kuwa ana mabaya? Utakuwa hauko makini na una matumizi mabaya sana na ubongo wako.

Flyovers(Ubungo)

Umeme wa bwawa,

Mahospitali,

Reli ya kisasa ya umeme (SGR)

Barabara tena za kisasa (Ubungo hadi Mbezi mwisho),

Kuifikisha TZ uchumi wa kati.

Kutumbua vyeti feki,

Kubana matumizi yasiyo na ulazima(kusafiri nnje ya nchi)

Kuboresha mikataba upya ya madini (Barrick company),

Kulinda rasilimali zisitoroshwe nnje ya nchi (Twiga, ndovu)

Kupunguza na kuzuia madawa ya kulevya,

Kuboresha bandari zote (za maji na kavu),

Kujenga viwanja vya ndege (Terminal 3),

Kununua ndege za kisasa 11,

Kudhibiti mifumuko ya bei,

Kujenga stendi za kisasa za mabasi,

Nimechoka kuandika, lakini mwenye akili na mwenye macho haambiwi "ONA".

JPM "Hata kama hamniamini mimi basi aminini kazi zangu"
 
Magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Ni fireeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Ni fireeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ni sawa na mtu amefungwa matambala usoni kamba tumboni mikono nyuma ya mti wanajaribu kumchangia mkumpiga lakini Cha ajabu Sasa aliyefungwa mikono (magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii) wanamchangia kumtandika makonde ajabu yake Sasa wait hawajafungwa Tena Ni wengi kila wakimsogelea wao ndo wanatandikwa makonde ya tumbo ,kisogo ,utosini,yaani wako hoi nyapi nyapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii huko uliko magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii endelea kuwapa za uso wengine wameanza kujikojolea huku,we endelea kumimina makonde mfululizo, magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii forever
 
Watu wa chini ndio wanaomfurahia? basi wacha waendelee kuwa wa chini.

Nilidhani wangemfurahia kwa maisha yao kuboreka zaidi kumbe sivyo?

Hata hao watu wenyewe wa chini walimfurahia basi, bali ilikuwa ni propaganda maana hao watu wa chini hawana uwezo wa kupaza sauti zao. Alikuwa na kitengo chake cha propaganda walikuwa wanaokotwa watu wanawekewa maneno ya kuongea mbele ya vyombo vya habari. Ilikuwa ikitokea unaongea ukweli wasiopenda unafanyiziwa. Ukweli halisi wa kukubalika kwake tungeuona kama angeheshimu box la kura, ili tupime kukubalika kwake.
 
Magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Ni fireeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Ni fireeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ni sawa na mtu amefungwa matambala usoni kamba tumboni mikono nyuma ya mti wanajaribu kumchangia mkumpiga lakini Cha ajabu Sasa aliyefungwa mikono (magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii) wanamchangia kumtandika makonde ajabu yake Sasa wait hawajafungwa Tena Ni wengi kila wakimsogelea wao ndo wanatandikwa makonde ya tumbo ,kisogo ,utosini,yaani wako hoi nyapi nyapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii huko uliko magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii endelea kuwapa za uso wengine wameanza kujikojolea huku,we endelea kumimina makonde mfululizo, magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii forever

Umeshalewa vijibia vya ofa vya pasaka sasa naona unatapika tu hapa jukwaani.
 
Ni Rais ambaye amekutana na changamoto nyingi. Sana. Mwaka 2015 anachaguliwa kugombea kwa kupeperusha bendera ya CCM anakutana na ushindani wa mpinzani maarufu sana aliye mpindua mkt taifa ccm agalau kwa dakika kadhaa kwa pambio maarufu la chama. Kama haitoshi mpinzani huyo alinunua chama kikuu cha upinzani ili agombee kupitia huko.

Fikiria unakabidhiwa kuongoza Taifa ambalo kwa uzembe wa mtangukizi wako lilifikia hatua hiyo. Uanzie hapo ili ulirudishe kwenye mstari. Na kama haitoshi unaye Naibu wako ambaye ulisukumiziwa halikuwa chaguo lako na ndiye ufanye naye kazi. Angalau PM wake alimkubali kwasababu anasema wako walioandaa na suti za kuavaa kwenye kuapishwa kuwa PM wakaambulia patupu Hii inamaana asingesimama imara na PM naye angempata wakusukumiziwa.
 
Yani hiki kikundi kidogo cha wahuni kinacholipwa pesa kuichafua legacy ya mwamba wa dunia JPM hapa JF ndiyo uamini kuwa ana mabaya? Utakuwa hauko makini na una matumizi mabaya sana na ubongo wako.

Flyovers(Ubungo)

Umeme wa bwawa,

Mahospitali,

Reli ya kisasa ya umeme (SGR)

Barabara tena za kisasa (Ubungo hadi Mbezi mwisho),

Kuifikisha TZ uchumi wa kati.

Kutumbua vyeti feki,

Kubana matumizi yasiyo na ulazima(kusafiri nnje ya nchi)

Kuboresha mikataba upya ya madini (Barrick company),

Kulinda rasilimali zisitoroshwe nnje ya nchi (Twiga, ndovu)

Kupunguza na kuzuia madawa ya kulevya,

Kuboresha bandari zote (za maji na kavu),

Kujenga viwanja vya ndege (Terminal 3),

Kununua ndege za kisasa 11,

Kudhibiti mifumuko ya bei,

Kujenga stendi za kisasa za mabasi,

Nimechoka kuandika, lakini mwenye akili na mwenye macho haambiwi "ONA".

JPM "Hata kama hamniamini mimi basi aminini kazi zangu"
Huwa najiuliza sana mtu kama Mandela aliwafanyia nini watu wake mpaka awe na legacy kubwa nchini kwake na kimataifa? Naona katika kazi ulizoziorodhesha sioni alijishughulisha na ipi,lakini anasifiwa kuliko kiongozi yeyote Africa.
 
Magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Ni fireeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeee EEE anapambana na CCM Samia na serikali ya Samia na vikundi vya kukodi kutoka upinzani hakika Hawa wawili na Askari wao wa kukodiwa wakishindwa kumwangusha magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii (mmoja) watakuwa Ni dhaifu Sana kupata kutokea hapa duniani.pambano linaendelea mtu mmoja (marehemu) anachangiwa na msitu wa watu,wasomi,wanasiasa,wachungaji na mapadri,wanaharakati, mawaziri was serikali na mkulu was naniliu karibu tushuhudie mpambano huuu,mpaka sasa pointi Ni 5 kwa 0 magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii anaongoza kwa 5 wait hawajapata kitu
 
Haha! Hujaelewa kitu kimoja kinachochezwa,ukweli ni huu wanaogopa legacy ya magufuli maana imewavaa watu, sasa wanashindwa kupambana na mazuri yake kwa mazuri bali wanamchafua ili aonekane mbaya ili nao wafanye mabaya! Maana wanajijua level zile hawafiki!.
Hivi kwa mauaji ya wakosoaji na kesi za kubambika anachafuliwa wapi?
 
Hili limefanya hata wengine wanaomkataa wawe na mengi waliyopenda kutoka kwake, na hata waliomkubali wawe nq mengi wasiyoyapenda kutoka kwake.

nafikili hili ndio JIBU sahihi kutoka kwa Kiranga
Mimi ni mmoja kati ya watu walimkataa vibaya kwanza UCCM wake na baadhi ya mengine amabayo hayakuwa na faida yoyote kwangu zaidi ya kufuata mkumbo
lakini nina mengi ninayoyapenda toka kwake

ukiniuliza faida na hasar ni ipi kwa kuwa na kiongozi kama magufuri
mimi nitasema faida 90% hasara 10%
nilikuw simpendi mdomoni
namkubali MOYONI

sina hakika kwa wengine lakini naimani 80% ya WATANZANIA walikuwa dizaini kamayangu
itachukua MUDA au tuseme bahati tena kupata RAISI wa kariba ya MAGUFURI
Staili yake ya UONGOZI ndio ilifaa sana kwa NCHI kama za AFRICA hususani hapa TANZANIA ili kufikia target ya Maendeleo

kuna mtu aliwahi kuandika HUMU
IDDY AMINI DADA angekuwa mpk leo
UGANDA basi ile nchi ingekuwa mbali mnoo kimaendeleo
kuna atakaeniambia ingekuwa ZIMBABWE namba 2
Mimi nitakujibu jibu moja AFRCA inahitaji watu wenye KARIBA kama ya MUGABE na bahati mbaya katika miaka yote hiyo alikuwa pekeake akipambana kile alichoamini kitatupa FIKRA mpya DIRA mpya kutoka UTEGEMEZI mpka KUTEGEMEANA
MAGUFURI alikuja baadaye sana WAKATI JABARI MUGABE ndio anapotea tena NGUVU hakuna
 
Back
Top Bottom