Hayati Magufuli: Mtanikumbuka, msema kweli ni mpenzi wa Mungu!

Hivi huyu @ Lucas mwashamba alikuwa anabubujikwa na machozi hata wakati wa magufuli?
Au anabubujikwa na machozi zama hizi pekee?😁😁
 
Attachments

  • 26c4b7cf474c89ba0444572fd01ce36d_1740866019254.mp4
    16.8 MB
Magufuli akiww mfu ana nguvu kuliko alivyokuwa hai. Bado naomboleza kifo cha huyu shujaa wetu, nitaomboleza mpaka siku nikifa.
 
JPM alisingiziwa mabaya mengi sana, nadhani mnajionea vile JPM anaendelea kuteka na kuua watu huku yeye akiwa mfu πŸ˜‚
Unajua maana ya precedence? Yaani ukianzisha kitu na wengine wakiendeleza haifuti kuwa nawe ulifanya? Ni sawa kusema hukuiba pesa ofisini kisa tu kuna mtu alikuja baada yako naye akaiba pia!!
 
Magufuli akiww mfu ana nguvu kuliko alivyokuwa hai. Bado naomboleza kifo cha huyu shujaa wetu, nitaomboleza mpaka siku nikifa.
Ana nguvu ipi? Mbona wanaomtukana na kumkejeli mmewapa ugombea urais bila kupingwa!!
Huyo Mpina ndio walau anaonyesha kumuenzi ila anashughulikiwa na nyie mko kimya tu.

Watanzania Wanafiki sana
 
Unajua maana ya precedence? Yaani ukianzisha kitu na wengine wakiendeleza haifuti kuwa nawe ulifanya? Ni sawa kusema hukuiba pesa ofisini kisa tu kuna mtu alikuja baada yako naye akaiba pia!!
Enzi za JK hapakuwa na hizi mambo?
 
Rest in peace chuma. Itafika siku ndoto zako zitatimia, kuiona ile Tanzania jeuri, ile Tanzania yenye heshima, ile Tanzania watu wanaenda jumba jeupe kwa adabu. Ipo siku ipo siku
 
Rest in peace chuma. Itafika siku ndoto zako zitatimia, kuiona ile Tanzania jeuri, ile Tanzania yenye heshima, ile Tanzania watu wanaenda jumba jeupe kwa adabu. Ipo siku ipo siku
 
Ndio hasara ya kumfanya mtu godfather wako 😁😁
 
Jiwe alikuww mtu katili sana, aendelee kuteseka huko aliko
 
Amina, pumzika baba.
 
Aliokuwa anaua wao watamuombea nini.

Kifo chake kajitakia mwenyewe. Huwezi kuua watu namna ile
 
Jembeee sana magufuli ,ila miradi uliyoicha mama anaisimamia kikamilifu na kwaspeed ,hongera sana chief hangaya
 
Rest in peace chuma. Itafika siku ndoto zako zitatimia, kuiona ile Tanzania jeuri, ile Tanzania yenye heshima, ile Tanzania watu wanaenda jumba jeupe kwa adabu. Ipo siku ipo siku
Hakuwa na hiyo ndoto otherwise angekubali mabadiliko ya katiba ya warioba ili kuongeza uwajibikaji wa viongozi. No wonder wabunge alioteua yeye na makamu wa Rais aliyemteua yeye wamekua dissapointment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…