Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not only weak, but the weakest.It's clear as fu.ck that everyone will remember him because of weak president we have right now in Tanzania.
Magufuli had that gut to tell people the truth.Shujaa wa Afrika hakutaka kabisa kuigiza kwenye masuala yawahusuyo Watanzania. Nimekuwekea clip hapa chini.
Ng'ombeAcha upumbavu bwana mdogo. Fanya kazi Acha kulia lia mtandaoni. Au kama vipi nenda Chattle kajigaragaze pale kaburini
Unamkumbuka wewe. Sisi Samia anatufaa Sana. Siyo watanzania wote kwamba Ni wafanyakazi. Sisi wakulima tunamkubali Sana Mana jpm aliua masoko ya kila zao Sasa tunauza nje na ndani. Usitulazimishe sisi. Pambana na Hali yako au acha kazi njoo tulimeKuhusu nyongeza ya mshahara ulisema wazi kuwa usingeongeza wakati ule, isipokuwa utakuja kuongeza mishahara mikubwa zaidi saa ikifika.
Tunakukumbuka kwa ukweli na uwazi wako.
Ni heri mara mia ukamwambia mtu hakuna chakula kuliko kumnawisha mikono na hatimaye unamnyima chakula.
Mungu akupe pumziko la milele huko mbinguni, JPM BABA YETU MPENDWA.
Kwani wew mtumishi ulitegemea utaongezwa kama TSh ngap hivi.Kuhusu nyongeza ya mshahara ulisema wazi kuwa usingeongeza wakati ule, isipokuwa utakuja kuongeza mishahara mikubwa zaidi saa ikifika.
Tunakukumbuka kwa ukweli na uwazi wako.
Ni heri mara mia ukamwambia mtu hakuna chakula kuliko kumnawisha mikono na hatimaye unamnyima chakula.
Mungu akupe pumziko la milele huko mbinguni, JPM BABA YETU MPENDWA.
Acheni kazi kwani mmelazimishwa? Sisi tusio na kazi mnatuona mabwege siyo!! Mama usiwapandishie ili na wao wajue hawajasoma peke yao. Wakitaka watoke sisi tuko radhi kwa mshahara hata wa laki tuMtu ukilinganusha mfumuko wa bei na nyongeza waliyopewa watumishi ni Bora kipindi cha Jiwe ambapo hakukuwa na nyongeza lakini bei za bidhaa zilikuwa stable
We , Utajiri sio Siasa,Acha upumbavu bwana mdogo. Fanya kazi Acha kulia lia mtandaoni. Au kama vipi nenda Chattle kajigaragaze pale kaburini
Watu kama wewe ni bora tumfadhili MbuziKuhusu nyongeza ya mshahara ulisema wazi kuwa usingeongeza wakati ule, isipokuwa utakuja kuongeza mishahara mikubwa zaidi saa ikifika.
Tunakukumbuka kwa ukweli na uwazi wako.
Ni heri mara mia ukamwambia mtu hakuna chakula kuliko kumnawisha mikono na hatimaye unamnyima chakula.
Mungu akupe pumziko la milele huko mbinguni, JPM BABA YETU MPENDWA
Mimi namlaani amefanya haliyangu kuwa ngumu kwa kuivuruga kazi yangu halali kwa kutaka pesa kwanguvu alaniwe mileleKuhusu nyongeza ya mshahara ulisema wazi kuwa usingeongeza wakati ule, isipokuwa utakuja kuongeza mishahara mikubwa zaidi saa ikifika.
Tunakukumbuka kwa ukweli na uwazi wako.
Ni heri mara mia ukamwambia mtu hakuna chakula kuliko kumnawisha mikono na hatimaye unamnyima chakula.
Mungu akupe pumziko la milele huko mbinguni, JPM BABA YETU MPENDWA.
Nonsense alisababishaje kumbuka enzi zake tuliingizwa uchumi wa Kati.Huyu mnayemkumbuka ndiyo kasabababisha yote haya,Mama kakuta kikapu hakina kitu hali ya Uchumi ni Mbaya sasa ataongeza kutoka wapi?Hata hicho alichoongeza kwa hali aliyoikuta kajitahidi sana tusimvunje Moyo.
Waliokosea ni washauri wake wa Kisiasa kufanya siasa katika hili kwa kutangazatangaza bila kutoa Elimu au uelewa kwa Wafanyakazi,kilichotokea Wafanyakazi wakajenga Matumaini makubwa sasa hivi wamepigwa na kitu kizito wana hasira nao wanaweza kurudisha kitu kizito kitu ambacho kisiasa ni hatari.
Haya Majedwali ya Viwango vya nyongeza wanayohaha kuyasambaza sasa hivi wanakosea its too late,hii kazi ilitakiwa ifanyike kipindi hicho watu waelewe wanachopata wasijenge matumaini,huku ni kuvuta shuka wakati kumekucha.
Hapa inatakiwa akili kubwa ikae itafutwe Calculation nzuri ya kucounter attack hii reaction ya Watumishi.
Amehudumu kwa miaka mitano tu, yet amefanya makubwa kuliko waliohudumu kwa miaka 10 na zaidi.
Alikua hapindi pindiRais akuwa kumungunya maneno kama nyeusi nyeusi na kama nyeupe nyeupe
Katika Marais wangu watatu Mwalimu, Big Ben na JPM
KAZIKWE PEMBENI YAKEKuhusu nyongeza ya mshahara ulisema wazi kuwa usingeongeza wakati ule, isipokuwa utakuja kuongeza mishahara mikubwa zaidi saa ikifika.
Tunakukumbuka kwa ukweli na uwazi wako.
Ni heri mara mia ukamwambia mtu hakuna chakula kuliko kumnawisha mikono na hatimaye unamnyima chakula.
Mungu akupe pumziko la milele huko mbinguni, JPM BABA YETU MPENDWA.
Na hii ni moja ya sifa ya muhimu kwa kiongozi wa kweli - honesty.Alikua hapindi pindi
Yuko straight kama Trump [emoji1787]
Ikikuuma ikuume ila ukweli alisema
Na msimamo alikua nao.. katika vitu nilimpendea ni hivyo viwili.
Yeye hata dunia ikimgeuka anasimamia anacho amini