Kuongea kingereza hakuzuii kuonyesha upumbavu wako,upumbavu wako unabaki kwenye tabia na maumbile yako,ila ulichobadili ni kuamua kuwa mpumbavu wa kiingereza pia!Ongelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!
Unaona mbali sana !Bila shaka mwandishi atakuwa yule mwalimu wa shule ya uongozi [emoji848][emoji848][emoji848]
Na nyinyi nendeni mkamnunue huyo Msomi aandike kitabu cha Mbowe!Hakuna nchi yoyote Duniani iliyoandika kitabu. Kama Malawi umefanya hivyo itakuwa nchi ya kwanza duniani.. Ila mwanazuoni wa nchi yoyote anaweza kuandika kitabu on an event in any country na akapublish...
Kwamba huyo Profesa anamjua zaidi Magufuli kuliko sisi watanzania ? acheni utapeli wenu .Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
Hilo ndilo kosa alilofanya hata Magufuli katika uhai wake: kufikiri Mbowe ndiye adui yake huku akiwakumbatia maadui zake wa kiukweli ndani ya CCM. Crack you brain, jiulize, I am the State, sponsor ni nani, Mbowe?Kwani mbowe hana pesa ya kununua wanataluma wakaandiaka KILIMANJARO MBOWE and CHANGE
Sidhani kama kuna jipya ambalo hatulifafamu kwa kitakacho kuwamo kwenye hicho kitabu zaidi ya taarifa ambayo mwandishi alikuwa anaokoteza kutoka kwenye hotuba za upande mmoja wa Magufuli.Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
Ni project ya Humprey Polepole hiyo, baada ya mwaka pia tegemea mwananchi wa Cuba naye kuandika kitabu kingine kuhusu MagufuliHuyo Magu kawafanyia nini hadi wamwandike?!
Kwahiyo ndo kazi polepole alienda kufanya hivyo hadi akatenguliwa Malawi na kupelekwa Cuba?Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
Kitabu cha kipumbav kina somwa na ??? , kimeandikwa na ?? ?Kilipoandikwa na watanzania kuonesha mapungufu yake kiliitwa kipeperushi. Ukipenda kusifiwa upende na kukosolewa
Tusome pia IAM THE STATE Kitabu cha wahariri wetu toka kwetu
Kitanda usicholalia huwezi kujua kunguni wake.Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
Basi sawaKilipoandikwa na watanzania kuonesha mapungufu yake kiliitwa kipeperushi. Ukipenda kusifiwa upende na kukosolewa
Tusome pia IAM THE STATE Kitabu cha wahariri wetu toka kwetu
Kachukue copy mbili moja yako,moja ya tapeli Mbowe.Kwamba huyo Profesa anamjua zaidi Magufuli kuliko sisi watanzania ? acheni utapeli wenu .
Ndio maana Watanzania walisherehekea Polepole kuondolewa Malawi
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ungewataja waandishi sio kusema kimeandikwa na WatanzaniaKilipoandikwa na watanzania kuonesha mapungufu yake kiliitwa kipeperushi. Ukipenda kusifiwa upende na kukosolewa
Tusome pia IAM THE STATE Kitabu cha wahariri wetu toka kwetu
Kwa hiyo wewe una akili ,??Hakuna nchi yoyote Duniani iliyoandika kitabu. Kama Malawi umefanya hivyo itakuwa nchi ya kwanza duniani.. Ila mwanazuoni wa nchi yoyote anaweza kuandika kitabu on an event in any country na akapublish.
Kwa Malawi tunajua yule Balozi tapeli mtetea legacy mfu alipokuwa Balozi nchini Malawi aliwanunua wanataaluma wenye njaa kali pale Malawi waandike hicho mnachosema ili kuonesha legacy is real. Wenye akili wanajua hamna kitu isipokuwa utapeli.
Ukiwa ni kibaraka, ina maana una ujinga ujinga.Mbowe hayupo kwenye kundi la wajingawajinga.
Haramia!Kwamba huyo Profesa anamjua zaidi Magufuli kuliko sisi watanzania ? acheni utapeli wenu .
Ndio maana Watanzania walisherehekea Polepole kuondolewa Malawi
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app