Hayati Magufuli (R.I.P), Hivi Aliwezaje kufanya yote haya?

Jamaa alikwapua 1.5 na mpaka sasa watu hawajui zilienda wapi, labda vilaza wachache ndiyo wanajua ukiwemo wew.
 
Hakika ashukuliwe
Mungu
Hakika ashukuliwe Mungu wa mbinguni kwa kutupatia JPM.Alitusaidia kuwa tunaweza kuishi kwa kijiamini na kufanya kazi.Naamini ,JPM ni rais bora kutokea Tanzania na duniani.Na wote wanaomchukia wataendelea kumkumbuka daima.Iwe kwa kuanzisha Uzi.Au kwa njia yeyote.Tunakukumbuka baba JPM .
 
The guy liked petty things. Rais anafungua mashine ya kusaga nafaka wao wanazusha eti ni kiwanda.
 
Kikwete umejitosa JF kujitetea?
Nchi ilikushinda mjomba,kaa tu ule pensheni.
Hata ukipewa urais Tena mziki wa sukumagang huuwezi,Labda ule wa fitina unaweza na kuuza sura Ulaya.
Jf haijawahi kuishiwa vituko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwanini usitumie umoja, unasema tuna kukumbuka ili hali ni wew peke yako.
 
Jibu ni moja tu ALITUMIA WATU WASIOJULIKANA KWA WOTE WANAOMPINGA BILA KUSAHAU VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA..UKIMPINGA TU WEWE SIO RAIA NA UTAJUA HAUJUI.
 
Alifanikiwa kuwageuza Watanzania hasa viongozi kuwa misukule yake ya kumsifu na kumuabudu. Aliwajaza hofu na umasikini wananchi kiasi ya kwamba waliona sifa kujiita wanyonge na masikini.
Athari zake zitadumu kwa muda mrefu sana.
Ni muhimu kupata katiba mpya ili hii hali isije ikajirudia tena miaka ijayo
 
Jiwe alikuwa katili na muuaji, alijona Mungu mtu akaitwa chapa na Mungu mwenyewe.
Haimaanishi usipokuwa mkatili ndy hauitwi na MUNGU mkuu labda Tu uamue kujitoa ufahamu Km unafikiri jiwe alikuwa mkatili sn ndy maana ameitwa na MUNGU nakushauri nenda dark web huko utawakuta wakatili waliokula chumvi alafu maisha Yao yanaenda poa Tu na huyo MUNGU hawaiti wala nn

Kifo cha magufuli hakiuhusiani na ukatili wake Bali nature ilimselect
 
Hiyo sababu si haba mkuu uliza kwake PK.

Huko watu hupotea, watu hufa kama ilivyokuwa kwa JPM.

Museveni mbona binadamu?

Museveni si kama hizi mtu mbili.
Tatizo la watu wengi hasa wapinzani wa JPM wanadhani au waliwaaminisha watu kwamba JPM alipoingia madarakani akabadilika na kuanza kuwa mkatili,mtekaji na mbabe kumbe kiuhalisia JPM hakubadilika Bali alikuwa vile tangu akiwa mwalimu way back huko

Kilichotokea ni kwamba cheo kikubwa alichokipata ndy kikamfunua zaidi hata wasiomjua wakamjua..ni hivyo Tu

Makelele ya wanasiasa yasingesaidia chochote kumbadilisha ndy maana kikatokea kile kilichotokea mwezi march....
 

I knew nothing of importance about the screwer before he started murdering people indiscriminately
 
Jpm alitisha kw akutoa roho za watu. Binadamu yoyote duniani Hofu yake iko kwenye uhai. Hapo hakuna mjanja
Unajidanganya na hakuna unachojua..siyo kila aliyekufa enzi za Jon ndy yeye alihusika.Roma mkatoliki Hadi leo hajarudi bngo,the same applies Kwa tundu lisu,mbn JPM ameshasepa?

Kwao wale jamaa Maadui wa nchi siyo lazima watoke nje,hata ndani wanaweza kuwepo..Kwa hiyo ogopa sn wakikupigwla muhuri na kuwekwa kwenye list ya most important ..hata wapige Marais kumi watakutafuta tu,labda wajiridhishe hauna madhara tena

Nikukumbushe Tu ,hivi tunavyoongea kuna kiongozi wa chadema inasemekana ametekwa na watu wasiojulikana,lkn JPM hayupo
 
I knew nothing of importance about the screwer before he started murdering people indiscriminately
Ndy Kusema..me sijui kiingrishi mkuu,Kwanza nikisoma kiingrishi kichwa kinaniuma,tuendelee Kwa kiswahili
 
Ni kweli,alikua anafata sana sheria kiasi hata aliunda tume ya kuchunguza waliompiga Risasi Lissu,alifata sana sheria kiasi kwamba,aliweza Jenga hospitali kubwa Chato yenye hadhi ya kanda ilhali population yake ni watu laki tatu tu.....kwenye chaguzi alikua mtu wa sheria sana hadi CCM kushinda kwa kishindo,hiyo ndio JPM mfuata sheria
 
Haya nenda msoga kachukue bahasha yako.
 
Kweli, alipenda "ON THE SPOT", On the spot ilonekana alipozuia uchaguzi wa serikali za mitaa wasichaguliwe wengine ila Chama chake tu. On the spot nyingine ikaonekana kwenye uchaguzi wa October 2020 pale mifuko ya kura bandia iliyosimamiwa na Polisi na TISS ilipoingizwa na KUFANYA bunge liwe la Chama kimoja. On the spot nyingi tu alizisimamia. Kweli naungana na wewe JPM alipenda ON THE SPOT!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…