Hayati Magufuli (R.I.P), Hivi Aliwezaje kufanya yote haya?

Mama Samia kosa lake kubwa, narudia KOSA LAKE KUBWA ni kudhani watanzania wanahitaji uongozi wa kubembelezana. Watanzania wengi bado wanaishi mentality ya kikoloni. Ukitaka jambo lako lifanikiwe lazima uwe mkali kwenye utendaji wa matokeo (KPI) na uwe mkali kusimamia. Tuna kizazi cha watanzania wanaoamini kufanikiwa kwa kuiba/kulaghai/uongo na hawaamini ktk kufanya kazi. Na ndiyo maana wahindi wanatujua na wakenya. Mentality zetu pia zimejaa wivu. Yaani ukiwa rais wa Tanzania hakuna jambo utakalo lifanya watu wakupende ni bora uwe mkali mambo yaende. Kwa staili ya Mama Samia sidhani kama itamsaidia yeye na serikali yake zaidi ya watu wataishia kumpachika majina ya ajabu kama ilivyokuwa kwa Dkt Kikwete. Mama kama anasoma huu uzi inabidi afanya kile ambacho anaamini ktk Moyo wake (yaani let Mama follow vision yake ya Tanzania Mpya anayoitaka). Then namna ya ku implement awe mkali ili afanikiwe.
 
Mimi na CCM wapi na wapi! Jamaa yako alikuwa mwizi aliyejificha nyuma ya dola. Hakuna chombo chochote cha habari kingewa ku report jambo lake lolote ovu. Jiwe kuwa Rais ilikiwa ni pigo kutoka kwa Mungu
Inaonekana wewe ni mhanga wa vyeti feki maana si kwa hasira hizi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahangaishwaa na kivuli cha mtu ambae hayupo na wala hautamwona tena maishani mwako. Wewe nae n mshenzi mshenzi tu na huna lolote zaid ya kuja kuwapa promo kina jk na mama yako..jk hilo liko waz n wez tu walee..
Inabidi ukapimwe akili dada wewe!
 
Jpm ameacha maharamia wengi na hii ndio effect
 
Kwa hiyo mkuu hapo nani mwenye nafuu kuliko mwenzake!?
Wa kikwete nafuu anagalau tulipiga makelele vifurushi vingine vikamwagika. Si unajua ukimkimbiza mwizi kwa mayowe. Hata akifikisha furushi lake lakini kalifanyia kazi kweli kweli
 
Utopolo
 
Maneno machache tu. He was abnormal
 
Hivi gesi yote inamilikiwa na mchina, maana hakuna kinachoeleweka kwenye gesi......vipi lile lango la bwagamoyo na lenyewe atamilikishwa mchina? rip. JPM....
 
Chifu hangaya kafanya nini in comparison zaidi ya kutafuta huruma ya kuungwa mkono kwa kigezo cha jinsia...
 
Chief hangaya anatafuta support ya kina mama, tulia wewe mchangia mbegu.....
 
Flyover ipi kikwete aliianzisha?
 
Mkuu mimi na kazi yangu cheti cha nini? Au umekariri maisha? Je wajua kuna kazi unaajiriwa baadae ndiyo wanaomba ulete vyeti kutimiza protocols tu? Amka ndugu acha ujinga.
Mjinga ni yule anayemsema mtu asiye weza kujitetea kwanini msirekebishe yale mapungufu mmekazana JPM au kazi inawashinda, hizi kelele ni sawa umeacha mke kisa anatabia mbaya ukaoa mwingine lakini kutwa kumtaja, embu mwacheni alale huko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu cha muhimu ulichosema ni kuwa tumuache apumzike pamoja na ukatili wake. Sawa mkuu
 
Sawa mkuu, uko sahihi, comment yangu nahisi ilibebwa na hasira zangu juu yake japo alishaenda zake.
 
Chunguza sana watu waliokuwa wanamwelewa Jiwe, akili fupi(vilaza), masikini, sikuma gang. Lazima mtu huyo at fall kwenye mojawapo la hayo makundi kama siyo yote
Hapo nazani umesema sifa za watu ambao walikuwa wanamnanga jpm..ambao ww ni mmojawapo...mwenye akili fupi kama karunguyeye..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…