Ooh kumbe! Sasa mkuu hayo mafurushi yaliyomwagika na lile furushi alilolifanyia kazi mwizi kwa kulifikisha limemnufaisha nani!?Wa kikwete nafuu anagalau tulipiga makelele vifurushi vingine vikamwagika. Si unajua ukimkimbiza mwizi kwa mayowe. Hata akifikisha furushi lake lakini kalifanyia kazi kweli kweli
Zingine zilidondoka watu wakaokota si haba.Ooh kumbe! Sasa mkuu hayo mafurushi yaliyomwagika na lile furushi alilolifanyia kazi mwizi kwa kulifikisha limemnufaisha nani!?
Hakuna matata, nashukuru ujumbe umefika na kingine kikubwa umejibu kwa kujibainisha. Asante sana.Hapo nazani umesema sifa za watu ambao walikuwa wanamnanga jpm..ambao ww ni mmojawapo...mwenye akili fupi kama karunguyeye..
Nilipoona hiyo 7 nikajua kuwa unashawishiwa na mwelekeo ulionao
JPM alikuwa Katili lakini kiutendaji mpe sifa, huwezi kumlinganisha na mwizi Kikwete, nikisema mwizi ni mwizi kweli na nina evidence,
Ni kweli mkuu ila hapo Sasa pa kuota ndio shida! Si unajuaga watu tulivyo na roho zetu!!??Zingine zilidondoka watu wakaokota si haba.
🤣🤣🤣🤣.Kikwete umejitosa JF kujitetea?
Nchi ilikushinda mjomba,kaa tu ule pensheni.
Hata ukipewa urais Tena mziki wa sukumagang huuwezi,Labda ule wa fitina unaweza na kuuza sura Ulaya.
Ila waigrishi unawapenda, naona wamepamba mpaka plofairi yako.Ndy Kusema..me sijui kiingrishi mkuu,Kwanza nikisoma kiingrishi kichwa kinaniuma,tuendelee Kwa kiswahili
Mwinyi?? khakhaaa🤣🤣🤣🤣.
Embu fuatilia historia ya JK. Usimdharau yule mzee.
Halafu Hawezi kukaaa akala pension, nchi inamtegemea sana sasa hivi si unajua ndiye mstaafu hai mwenye nguvu aliyepo.
Nimetumia neno hai mwenye nguvu. Mwinyi yupo hai ila nguvu za kuhangaika na jeshi au serikali sidhani kama zipo. Labda ushauri.Mwinyi?? khakhaaa
Yaani Kikwete uwa anaangaika speech zake toka Magufuli yupo ni kudai hiki nilianzisha mimi, Tatizo Kikwete aliona yeye ndo anapendeka, akapewa nchi ikamshinda kwa kuendekeza Urafiki na kujuana. Alio waweka wakamuangusha.Kikwete umejitosa JF kujitetea?
Nchi ilikushinda mjomba,kaa tu ule pensheni.
Hata ukipewa urais Tena mziki wa sukumagang huuwezi,Labda ule wa fitina unaweza na kuuza sura Ulaya.
Kuna mtu alihendekeza kujuana zaidi ya Jiwe?Yaani Kikwete uwa anaangaika speech zake toka Magufuli yupo ni kudai hiki nilianzisha mimi, Tatizo Kikwete aliona yeye ndo anapendeka, akapewa nchi ikamshinda kwa kuendekeza Urafiki na kujuana. Alio waweka wakamuangusha.
Kikwete alimchukia Nyerere hakumpenda toka Nyerere alipomkataa na kumweka Mkapa. Aliposhika madaraka akawafitini Nyerere Foundation, akina mzee Butiku. Ili aonekane yeye ni yeye. Hata hivyo hawa wazee wameuwa Nyerere foundation hatuoni wanafanya nini. Nao waachie madaraka kwa wengine wanataka kufa na Nyerere foundation?
Ndo maana kuna vita kubwa na Magufuli, mtu wa watu katangulia, lkn anavyotukanwa, utadhani wao hawatokufa. Utadhani wataishi milele. Kikwete bado hajaridhika.
Mie nitamke kueni makini Mungu ndiye ajuae kwa nini Magufuli ilikuwa aondoke mapema. Msidhani ndo upande wa Kikwete mmeshinda! Chochote chaweza tokea.
Magufuli anatajwa wizi, lakini hawaweki wazi kaiba nini? Ni uongozi upi ulijaa kashifa za wizi? Wanasema mauaji, hivi wakati wa Kikwete wangapi walitekwa na kuteswa, acha hii ya Mo katekwa ati anarudi bila kovu lolote.
Dr. Ulimboka, Mwandishi wa habari alietobolewa macho, Mawazo wa Chadema, Dr. Mvungi wa NCCR, Mwandishi wa habari huko Iringa alie uwawa kwa bomu, Mkurungezi wa usalam wa Taifa msitaafu Kombe alie uwawa huko Arusha, mbona haya hayatajwi anasingiziwa magufuli. Mauaji Zanzibar katika chaguzi za 2000, 2005, 2010. Ni wakati gani Zanzibar ilichafuka zaidi? Tuache propaganda na ushabiki usio na mantiki.
Kwanza mimi sioni kuna haja gani kulinganisha viongozi na wote wanatoka chama kimoja. Tunachotaka ni viongozi wenyekuleta maendeleo. Atoke upinzani sawa. tuache ujinga wa kulinganisha Magufuli na Kikwete. Kikwete sasa hayupo muda wake ulipita. Magufuli alishatangulia mbele za haki, hata hajui kinachoendelea. Japo ni kiongozi alie fahamika duniani kwa ungozi thabiti na kuwa na misimamo.
Wana Kikwete kubalini kuwa kila zama na kitabu chake Kikwete alimaliza mwacheni apumzike, Magafuli na mwacheni apumzike huko aliko.
Tumwangalie mama yetu SSH nae atatufikisha wapi.
JPM hakuwa katili bali mambo ya msingi lazima yafanyike. Tanzania ilikuwa inapaa kwa utendaji wake wa kazi. Wewe kama kiongozi huwezi kuona mizoga inayoendelea kufuja pesa za walipa kodi na kukaa kimya, lazima uchukue hatua. Huwezi kuwachekea nyani shambani mwako. ni sawa na jinsi Hangaya anavyompamba Tony Blair wakati ni jambazi wa mchana kweupe.Nilipoona hiyo 7 nikajua kuwa unashawishiwa na mwelekeo ulionao
JPM alikuwa Katili lakini kiutendaji mpe sifa, huwezi kumlinganisha na mwizi Kikwete, nikisema mwizi ni mwizi kweli na nina evidence,
Angalia wengi waliokuwa madarakani wakati wa Magufuli ni vijana. Hakuna mtu alie mpa kishikaji kama Kikwete. Wakati wa Kikwete utasikia huyu mshikaji wangu, tulikuwa tunakwenda wote club, wengine tulisoma wote au tunachukua mademu. Hawakufanya kazi ofisini waliiba tu. Usilinganishe na Magufuli ambae aliibua vijana wengi.Kuna mtu alihendekeza kujuana zaidi ya Jiwe?
Ni sawa ila aliyepumzika ni Magufuli, Nyerere na Mkapa. JK bado anaitumikia nchi hajapumzika. CCM bado ipo madarakani chini ya SSH.Yaani Kikwete uwa anaangaika speech zake toka Magufuli yupo ni kudai hiki nilianzisha mimi, Tatizo Kikwete aliona yeye ndo anapendeka, akapewa nchi ikamshinda kwa kuendekeza Urafiki na kujuana. Alio waweka wakamuangusha.
Kikwete alimchukia Nyerere hakumpenda toka Nyerere alipomkataa na kumweka Mkapa. Aliposhika madaraka akawafitini Nyerere Foundation, akina mzee Butiku. Ili aonekane yeye ni yeye. Hata hivyo hawa wazee wameuwa Nyerere foundation hatuoni wanafanya nini. Nao waachie madaraka kwa wengine wanataka kufa na Nyerere foundation?
Ndo maana kuna vita kubwa na Magufuli, mtu wa watu katangulia, lkn anavyotukanwa, utadhani wao hawatokufa. Utadhani wataishi milele. Kikwete bado hajaridhika.
Mie nitamke kueni makini Mungu ndiye ajuae kwa nini Magufuli ilikuwa aondoke mapema. Msidhani ndo upande wa Kikwete mmeshinda! Chochote chaweza tokea.
Magufuli anatajwa wizi, lakini hawaweki wazi kaiba nini? Ni uongozi upi ulijaa kashifa za wizi? Wanasema mauaji, hivi wakati wa Kikwete wangapi walitekwa na kuteswa, acha hii ya Mo katekwa ati anarudi bila kovu lolote.
Dr. Ulimboka, Mwandishi wa habari alietobolewa macho, Mawazo wa Chadema, Dr. Mvungi wa NCCR, Mwandishi wa habari huko Iringa alie uwawa kwa bomu, Mkurungezi wa usalam wa Taifa msitaafu Kombe alie uwawa huko Arusha, mbona haya hayatajwi anasingiziwa magufuli. Mauaji Zanzibar katika chaguzi za 2000, 2005, 2010. Ni wakati gani Zanzibar ilichafuka zaidi? Tuache propaganda na ushabiki usio na mantiki.
Kwanza mimi sioni kuna haja gani kulinganisha viongozi na wote wanatoka chama kimoja. Tunachotaka ni viongozi wenyekuleta maendeleo. Atoke upinzani sawa. tuache ujinga wa kulinganisha Magufuli na Kikwete. Kikwete sasa hayupo muda wake ulipita. Magufuli alishatangulia mbele za haki, hata hajui kinachoendelea. Japo ni kiongozi alie fahamika duniani kwa ungozi thabiti na kuwa na misimamo.
Wana Kikwete kubalini kuwa kila zama na kitabu chake Kikwete alimaliza mwacheni apumzike, Magafuli na mwacheni apumzike huko aliko.
Tumwangalie mama yetu SSH nae atatufikisha wapi.
Duuh! kumbe bado ni Rais! Nachojua alikuwa Rais kwa miaka kumi ikaisha akarejea Msoga. Kama anatumika hayo ni sawa na mwananchi wa kawaida kuitumikia nchi yako popote ulipo. Ila si tena Amiri jeshi mkuu wala Rais, hatuwezi kuwa na Marais wawili.Ni sawa ila aliyepumzika ni Magufuli, Nyerere na Mkapa. JK bado anaitumikia nchi hajapumzika. CCM bado ipo madarakani chini ya SSH.
Hatuna maraisi wawili. Ila tuna raisi SSH na mstaafu JK chini ya CCM. Usisahau, CCM ndiyo kila kitu hata JPM na wengine wanajua hilo.Duuh! kumbe bado ni Rais! Nachojua alikuwa Rais kwa miaka kumi ikaisha akarejea Msoga. Kama anatumika hayo ni sawa na mwananchi wa kawaida kuitumikia nchi yako popote ulipo. Ila si tena Amiri jeshi mkuu wa Rais, hatuwezi kuwa na Marais wawili.
Hatukatai Rais mstaafu kumwakilisha Rais aliyopo madarakani. Au kufanya shughuli ambazo zitamfanya awe busy, mbali na hayo majukumu pia uwasaidia kuwaweka vizuri kiafya na kiakili.Hatuna maraisi wawili. Ila tuna raisi SSH na mstaafu JK.
Wastaafu walimsaidia hata JPM kuingia madarakani na walikuwa nae bega kwa bega mpaka kumwakilisha nje za nchi.
Kwa sasa aliyebaki mwenye nguvu ni JK na bado anapambana na TZ mpaka atakapoitwa kama wenzake.
Tanzania inaongozwa na sera za ccm kupitia kikundi fulani ndani ya Ccm wakiwakilishwa na raisi. Humo ndani maraisi wastaafu wana nafasi yao ya kipekee na si ndogo.Hatukatai Rais mstaafu kumwakilisha Rais aliyopo madarakani. Au kufanya shughuli ambazo zitamfanya awe busy, mbali na hayo majukumu pia uwasaidia kuwaweka vizuri kiafya na kiakili.
Kikubwa asi influence au kuwa na nguvu zaidi ya Rais aliyopo madarakani. Ikiwa hivyo basi ujue Rais aliyopo madarakani hana chochote. Ni heri atangaze tu kujiuzuru ili turudi katika uchaguzi. Hatuwezi kuwa na Rais asiye na maamuzi anategemea kila kitu kutoka kwa msitaafu.