Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Mapenzi ni upofu zuchu ndoa anaitaka kwa udi na uvumba ila pale atakuwa roho juu kama mkungu wa ndizi hadi ata surrender siioni ndoa pale kujitafutia kisukaree cha kushukaa tuuBado siyo sababu Nifah...
Hujawahi kuona Uchumba unaweza kudumu hata miaka mitano..
Ila Ndoa mwaka mmoja tu Chalii...
Mungu awasaidie.
Usiharibu harusi ya watu na wewee 🤣Hii ni habari njema sana... itawasaidia CHADEMA kushinda majimbo mawili ya uchaguzi.
💯Yetu macho. Ila Zuchu yupo kimaslahi zaidi.
Kung'ang'ana ndio habari ya mujiniMwenzangu hata mimi nimejifunza kwa Zuhura, siachani tena na mukaka wangu.
Zari lazima aje na drama mpya, huwa anajidai yuko cool kwa kudhani yataisha na Diamond hataoa atarudi kwake.
Ngoja tuone…
Ngoja tusubiri tuone...Maana kuna moja alikuwa anasema dadake cjui ilikuwa hivo hivi imefika siku ya posa Mondi kasema amebadili maamuzi haoi tenahView attachment 3225842
Hatimaye!
Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’
Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana Zuchu alitangaza kwa mara nyingine kuachana kwao japo amekuwa akifanya hivyo mara nyingi na baadaye kurudiana.
Safari hii mambo yamekuwa tofauti kidogo baada ya majuzi kuibuka ugomvi ndani ya kampuni upande wa redio kwa Zuchu kuwashutumu wafanyakazi wa Diamond kumvunjia heshima.
Zuchu ameonekana ‘kukaza’, hajacheka na yeyote akiwemo Diamond mwenyewe na pengine hili limesogeza karibu ndoa yao.
Zuchu ameshinda vita iliyowashinda wengi?…
The mother in law from hell, Mama Diamond amekuwa mwiba mchungu takribani kwa kila mwanamke aliyetoka kimapenzi na Diamond.
Amesemekana kikwazo kikuu kwa Diamond kuoa, hivyo posa hii kwa Zuchu inatuacha njia panda kwamba Mama Dangote kapata kiboko yake? Je posa hii ina baraka za mama yake Diamond?
Ndoa ni kabla ya Ramadhani…
Mwezi uliopita Diamond akiwa na msanii mwenzie Nandy katika mkutano mkuu wa CCM, alionekana akisema atamuoa Zuchu kabla ya Ramadhani ya mwaka huu ambayo inategemewa kuanza mapema mwezi Machi.
Diamond amekuwa akitoa ahadi nyingi hivyo wengi hatukuchukulia tamko lile kwa uzito, nimeshtuka baada ya kupewa taarifa za uhakika kuwa ni kweli na posa hiyo itapelekwa nyumbani kwa Bi Khadija Kopa Ijumaa ya keshokutwa tarehe 7.
Haya jamani, mambo ndio yako hivyo na hii ni habari endelevu nitakuwa hapa kuwajuza mapema kadiri nitakavyopokea taarifa.
Straight From The Horse’s Mouth,
Nifah.
mapenzi upofuSi Diamond? Huyo binti anateseka sana kwa mambo anayofanyiwa ila ndio kaamua haachani naye.
Kwaiyo hizi ni za chinichini😂😂😂View attachment 3225842

Hakuna ndoa hapo,ni video ya walewale inaachiwa soon, nilivujishiwa chatting zaoView attachment 3225842

Sikusema hatazaa! Ila ana advantage kwa vile hana mtoto.
Huu ndio Ukweli na "uwakika" wa hii harusi ya zuu na mondeNdoa ya kimkakati, Dai kashaona life span ya muziki wake inadecline.....na pesa ya muziki anaitaka....Pia Zuchu anamuingizia pesa nzuri.....
Anamuoa ili kumfunga asiondoke, pesa iendelee kuflow kwake.
Mtoto akizaliwa nje ya ndoa anakosa haki zote za baba .Wazanzibar huolewa wakiwa bikra, huyo hana sifa hiyo.
Akijichanganya tu kumuoa huyu kwisha kes itaenda mahamakam wasafi tv itagawanywa had vijiko maana mkakat wa kwanza wa zuchu na mama yake ni ndoaView attachment 3225842
Hatimaye!
Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’
Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana Zuchu alitangaza kwa mara nyingine kuachana kwao japo amekuwa akifanya hivyo mara nyingi na baadaye kurudiana.
Safari hii mambo yamekuwa tofauti kidogo baada ya majuzi kuibuka ugomvi ndani ya kampuni upande wa redio kwa Zuchu kuwashutumu wafanyakazi wa Diamond kumvunjia heshima.
Zuchu ameonekana ‘kukaza’, hajacheka na yeyote akiwemo Diamond mwenyewe na pengine hili limesogeza karibu ndoa yao.
Zuchu ameshinda vita iliyowashinda wengi?…
The mother in law from hell, Mama Diamond amekuwa mwiba mchungu takribani kwa kila mwanamke aliyetoka kimapenzi na Diamond.
Amesemekana kikwazo kikuu kwa Diamond kuoa, hivyo posa hii kwa Zuchu inatuacha njia panda kwamba Mama Dangote kapata kiboko yake? Je posa hii ina baraka za mama yake Diamond?
Ndoa ni kabla ya Ramadhani…
Mwezi uliopita Diamond akiwa na msanii mwenzie Nandy katika mkutano mkuu wa CCM, alionekana akisema atamuoa Zuchu kabla ya Ramadhani ya mwaka huu ambayo inategemewa kuanza mapema mwezi Machi.
Diamond amekuwa akitoa ahadi nyingi hivyo wengi hatukuchukulia tamko lile kwa uzito, nimeshtuka baada ya kupewa taarifa za uhakika kuwa ni kweli na posa hiyo itapelekwa nyumbani kwa Bi Khadija Kopa Ijumaa ya keshokutwa tarehe 7.
Haya jamani, mambo ndio yako hivyo na hii ni habari endelevu nitakuwa hapa kuwajuza mapema kadiri nitakavyopokea taarifa.
Straight From The Horse’s Mouth,
Nifah.
Kwa jinsi ninavyomfahamu Diamond anacheza tu na akili za watu ili aendelee kufuatiliwa na kutrend,hakuna ndoa hapo.Waweke laivu na wa funga ndoa wawe wa kweli isiwe maigizo.
Hivi ina maana Zuchu hadi leo bado hajajipata hadi awe na mawazo kama haya ya kimaskini?Akijichanganya tu kumuoa huyu kwisha kes itaenda mahamakam wasafi tv itagawanywa had vijiko maana mkakat wa kwanza wa zuchu na mama yake ni ndoa