Sababu wote ni waswahili ndio maana wanakuwa natural happy. You know what i mean?Ila wale wanapendana bwana...Nasibu akiwaga na Zuhura huwa anakuwa natural flani tofauti akiwa na Zari ,Donna sijui Fanta wote anakuwa amekaa ki camera camera....Hapo tatizo ni monster in law
Haya jamani, mambo ndio yako hivyo na hii ni habari endelevu nitakuwa hapa kuwajuza mapema kadiri nitakavyopokea taarifa.
Sasa mbona Diamond hajawahi kuweka mahusiano yao wazi kama hao wenzie?Ila wale wanapendana bwana...Nasibu akiwaga na Zuhura huwa anakuwa natural flani tofauti akiwa na Zari ,Donna sijui Fanta wote anakuwa amekaa ki camera camera....Hapo tatizo ni monster in law
Huyo ndio mimi sasa yaani EX wa mme wangu nikiwaona hadi natetemeka ila kanioa mimi katulia hadi watu wanamshangaa,mimi wenyewe sasa duh,ila ndio hivyo miaka inakatika na watoto watano nimemzalia wana akili shuleni hatari.Siku tukukaa tunapiga story zetu ananisimulia habari za ex zake tunaangalia picha zao namchekaaa ,tunachekaaa tunaenda kupeana utamu tunaliiiiiia tukimaliza tunakoroma usingizi.Unaweza hangaika na watoto wazuri wenye shape na maumbo mazuri Kwa muda mrefu na usiridhike ila anatokea mdada wa kawaida sana anakushika idara zote kitandani mpaka jikoni, ukiwa nae unakua tu na amani ya moyo
Ila kuchoropoa fresh tu sindio?Wadada jifunzeni kutoka kwa Zuchu, hakuna kuzaa mpaka kuolewa...
Safi sana!Huyo ndio mimi sasa yaani EX wa mme wangu nikiwaona hadi natetemeka ila kanioa mimi katulia hadi watu wanamshangaa,mimi wenyewe sasa duh,ila ndio hivyo miaka inakatika na watoto watano nimemzalia wana akili shuleni hatari.Siku tukukaa tunapiga story zetu ananisimulia habari za ex zake tunaangalia picha zao namchekaaa ,tunachekaaa tunaenda kupeana utamu tunaliiiiiia tukimaliza tunakoroma usingizi.
Sio kuzaa pekee bali kufunuliwa nguo bila kuolewa muacheWadada jifunzeni kutoka kwa Zuchu, hakuna kuzaa mpaka kuolewa...
Miye sina neno kwako dada haya mitano teeena mpendwa.Huwa siandiki habari za kubahatisha. Diamond na Zuchu wamefanya kiki kibao sijawahi kuandika hata 1, hadi naandika nina uhakika.