Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

Aoe umri unakimbia
 


Aaahh wapi, hiyo ni janja janja ya Diamond, nasema Zuchu akiendelea kumpa jicho basi Diamond anaendeleza ufirauni wake ndoa hakuna, keep this comment that is what is going to happen..!!

Diamond sio muoaji, watoto anao kibao, so yale mapenzi kwa mwanamke hana tena, sbb ana ile dhana 100% kuwa hakuna mapenzi tena na wanawake wanafuata kwake fedha na kikwazo kikubwa kabisa ni Mama yake, huyo ndio kabisa, hata wakioana wataachana haraka sana, totally impossible
 
Mengi kati ya uliyosema ni kweli Mkuu.
 
Huyu ndiye yule majuzi alilalamika kuwa amenyanyaswa kisaikolojia?
 
Huyu mtu tangu tunamfahamu tunasikia anaposa, kuna kabila fulani kila ukiposa unakatwa kidole kimoja, kwa utaratibu huo hivi angekuwa kama mkoma
Hilo kabila nimelipenda, safi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…