Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

Zarina hakustahili maana ni mkubwa wa Diamond na alishatotoa watoto kabla ya kukutana na Diamond
 
HUMJUI DIAMOND WEWE.

HUYO KIJANA AMETUMWA PESA KWELI KWELI..

APO ANATAKA ATINGISHE NCHI KWA KUTREND KILA SEHEMU ILI APIGE HELA SEHEMU

BIASHARA YA ENTERTAINMENT INATAKA UWE NA HEKA HEKA ZA KUTEKA INDUSTRY KILA BAADA YA MUDA FULANI
Kweli simjui ila hili la kuoa amefanya uamuzi wa dhati, ingekuwa kiki angeshaoa zamani!
 
Anaitwa stan bakola.......ni juzi kati tu hapa eti bidada kasusa
Kususa ni kweli Zuchu amenuna baada ya issue ya kuchafuliwa na kina Juma Lokole ndio maana nimesema pengine ndio imesogeza karibu ndoa yao.

Zuchu amelilia na kupambania ndoa na Diamond sana, hawawezi kukataa posa.
 
Sasa babu mengine nashindwa kukwambia ila nasikiaga Diamond kavua kofia kwa mtoto wa Bi Khadija, sio mchezo!
Huyo mtoto anaonekana lazima atakuwa fundi

Na huo ufundi hata Wazee tukioneshwa hujikuta tunakabidhi Kadi na password za Benki kabisa 🤗

Hayo mengine natamani uniambie hata Kwa kunitumia bahasha kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…