Hayawi hayawi huwa; Makomando wa IDF waanza kuingia kwenye hospitali, mpambano unaendelea

Hayawi hayawi huwa; Makomando wa IDF waanza kuingia kwenye hospitali, mpambano unaendelea

Nyama kidogo mkuu kwenye hili. Inamaana jamaa walianza kuwalamba Shaba wenzao?

Al Shifa hospital ndio target ya mwisho. Sasa huko kwenye mahandaki ya Chini ndipo Viongozi waliosalia wa Hamas na inawezekana mateka, Sasa ili kuzuia IDF wasiingie , Hamas wakafunga geti la kutoka nje. Sasa anayejaribu kukimbia analimwa Shaba ili watu waogope kutimka.

Sasa Israel kashaingia huko ndani kuwashughulikia Hamas. Kaenda na madaktari na watafsiri wa kiarabu.
 
acha kujifariji we gaidi wa kibiti subiri video zina kuja baada ya kusafisha ile underground complex mliyo weka chini ya hospital linapigwa bomu kuisambaratisha hosptl yote
Ok,tuzingoje...na mateka wetu
 
Al Shifa hospital ndio target ya mwisho. Sasa huko kwenye mahandaki ya Chini ndipo Viongozi waliosalia wa Hamas na inawezekana mateka, Sasa ili kuzuia IDF wasiingie , Hamas wakafunga geti la kutoka nje. Sasa anayejaribu kukimbia analimwa Shaba ili watu waogope kutimka.

Sasa Israel kashaingia huko ndani kuwashughulikia Hamas. Kaenda na madaktari na watafsiri wa kiarabu.
Ww jamaa una maneno mengi sana nadhani una uchungu na Israel kuliko hata Netanyau mwenyewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]maana sio kwa nguvu hizo unazo tumia kuisafisha.

Hakuna haja ya maneno mengi si wameshaingia hospitalini sasa tunasubiri hao mateka na viongozi wa hamas tuwaone maneno mengi ya nn?
 
Hamas walifunga geti la Hospitali ya Al Shifa ili watu wasikimbie. Sasa waliotaka kukimbia wakawa wanalimwa Shaba live. Kuna mtu na mke wake wakitaka kukimbia ile wanakaribia getini wakaliwa Shaba.
Acha uongo ushabiki mandazi unakufanya unaropoka tu.
 
Attachments

  • twidown.mp4
    2.9 MB
Hamas walifunga geti la Hospitali ya Al Shifa ili watu wasikimbie. Sasa waliotaka kukimbia wakawa wanalimwa Shaba live. Kuna mtu na mke wake wakitaka kukimbia ile wanakaribia getini wakaliwa Shaba.
Daah...! Ona sasa Hamas upumbavu wao?. Dunia iwaone. Wanajificha nyuma ya watoto na wanawake. Wamejichimbia handaki hospital ili ikifumuliwa na IDF,wanaanza kupiga kelele. Janja yao imegundulika mbwa hawa. Watapigwa wachakae
 
Kila kitu kina mwisho wake, HAMAS waliofanya hospitali kuwa makao makuu yao ndio mwisho wao sasa, makomando wa Israel wameanza kuingia kiaina fulu mpambano....yaani movie.

Israel’s military has said it was carrying out a raid against Hamas in al-Shifa hospital early on Wednesday, conducting what it called a “precise and targeted operation against Hamas in a specified area” of the medical complex.

Less than an hour earlier, around 1am local time, a Gaza health ministry spokesperson said Israel had told officials in the territory that it would raid the hospital complex “in the coming minutes”. Al-Shifa is Gaza’s biggest hospital.

Dr Munir al-Bursh, director-general of the Gaza health ministry, told Al Jazeera television that Israeli forces had raided the western side of the sprawling site. “There are big explosions and dust entered the areas where we are. We believe an explosion occurred inside the hospital,” Bursh said.
Hamas wamewaletea balaa Wapalestina wanyonge ila Israel pia imeenda mbali mno maana raia wengi sana wa Gaza wamekufa mpaka sasa.
 
Hamas hawataki watu waondoke maeneo ambayo wamejificha. Na wamekua wakishinda vita ya propaganda kwa kudai israel inaua raia. Yaani hamas wanataka dunianleo iamini hakuna askari wao hata mmoja ameuawa😂😂.

Wakati israel inaripoti hadi idadi ya askari wao waliouawa wao hamas wanaripoti wanawake na watoto tu yaani hata wanaume pale gaza hawajafa. Hao ndio hamas kwa sura yao halisi.
Hao wanawake pia itakuwa hamas.......maana kama yeye anajificha anategemea nini??
 
Back
Top Bottom