He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

Kichwa cha habari hakiendani na ulicho andika, Quran haijawahi kua edited rather published, kipi unachotaka kumaanisha.?
Kwa mujibu wa imani ya Kiislamu ya jadi, hakuna Aya wala Surah tukufu zilizoondolewa kwenye Qurโ€™an wakati wa usawazishaji wa Khalifa Uthman. Kilichofanywa na Uthman hakikuwa kuondoa sehemu za Qurโ€™an, bali ilikuwa ni kuondoa tofauti katika namna ya kusoma na kuandika, ili kuhakikisha umoja wa Waislamu.

Hapa ni ufafanuzi wa kile kilichofanywa:
Kilichofanywa na Khalifa Uthman:

1. Usawazishaji wa lahaja (qiraโ€™at):
Qurโ€™an ilikuwa inasomwa kwa lahaja tofauti tofauti (sababu ya kuruhusiwa kwa "Ahruf Sabaโ€™a" โ€“ njia saba za kisomaji zilizoruhusiwa na Mtume Muhammad). Uthman alichagua lahaja ya Kikuraishi (lahaja ya Mtume) kama ya msingi, na kuandika Qurโ€™an kulingana na hiyo.
 
Pia hii Quran (hafs) inayotumia sasa sio ile ya uthman,ile ya uthman hakuna ushahidi kwamba iliwahi kuwepo. Hakuna manuscript za kale zenye kuthibitisha hata sehemu ndogo tu ya Quran ya uthman.

Hii Quran ya leo ni kazi ya mfalme Fuad wa Misri,mwaka 1907 alitoa amri ka chuo kikuu cha Al Azhar nchini mwake watengeneze Quran moja kwa nchi nzima.

Kabla ya hapo wamisri na uarabuni nzima walikuwa na Quran zao local na kukawa na mkanganyiko wa kiimani . Mwaka 1924 Hafs version ya Quran ikarasmishwa na serikali ya Misri,kisha ikatolewa amri Quran zingine zote ziharibiwe. Zilichomwa moto,kuzamishwa mto nile nk.

Saudi Arabia wamekuja kuikubali hiyo Quran ya Misri mwaka 1985,hiki bado ni kitabu kipya kabisa na sio kile cha Mohamed .
 
"Ni kitabu kipya" unamanisha nini yaani unaandika kama illiterate lay man.......naomba udhibitishe ma badiliko yoyote from the original copy, script kama unao usitangulize mhemuko na chuki mkuu.......leta ushahidi, otherwise shut-up your big mouth
 
Sasa nilifahamu kuwa ulishushwa!
 
Kweli Allah ndiye alimfundisha binadamu kuandika?

Unajua binadamu aligundua maandishi Karne ya ngapi na Quran iligunduliwa Karne ya ngapi?.

Ok tuachane na hayo Mimi ndiyo naanza kusoma Quran hivyo sijaiva kihivyo sana nipatiwe muda kidogo.

Umefanya vizuri sana ndugu yangu. Watu wengi huwa wanaukashifu Uislamu au Quran bila ya kuusoma na kuujua kwa undani. Wewe unafanya vema kuisoma Quran. Mimi nakupa hongera na ninakuomba usiache kuisoma na ukipata swali lolote wewe liandike sehemu utayapata majibu ya maswali yako yote humo humo kwenye Quran.

Mwenyezi Mungu atuongoze wote katika njia iliyo sahihi
 
Asante.
 
Wakiristo wa jf ndio wanaotoa hoja humu jf ndio nawaona watupu vichwani ktk swala la dini, wa facebook utajua wewe unaojadiliana nao huko
Basi shekh wangu nisamehe sana tafadhari nimekosa mimi nimekosa sana ....ila kwa mafundisho ya yesu aliwajibu mafarisayo kuwa wenye afya awaitaji tabibu (daktari) bali walio wagonjwa ...hivyo umbumbumbu wetu ndiyo ugonjwa hivyo tunakuitaji utujibu tupate kupona ....
NAOMBA MAJIBU TAFADHARI ....... adriz FaizaFoxy Mufti kuku The Infinity Bwana Utam
 
Kwanza kabisa Qur'an ni Kitabu kimoja , unaposema vitabu vya Qur'an ni makosa ya wazi kabisa labda useme aya za Qu'ran.

Mwisho kabisa hakuna ubaya juu ya kukusanywa kile kilichomo na kukipangilia vizuri ilimradi hakuna kilichotolewa Wala kubadilishwa sawa na kuweka Jalada katika Kitabu kama njia ya kuhakikisha usalama na kupendezesha hilo halibadilishi Contents
 
Ungeuliza Ili ufundishwe alichofanya saidina Othuman

Wewe mgalatia hauwezi kuelewa Kwa sababu Lugha gongana

Mlima Kilimanjaro

1) ุฌุจู„ ูƒู„ูŠู…ู†ุฌุงุฑูˆ

2) ุฌูŽุจูŽู„ ูƒูู„ูŠูŽู…ูŽุงุฌูŽุงุฑููˆ

Hayo Maneno mawili hapo ya kiarabu yote maana yake ni mlima Kilimanjaro

Neno namba moja halina lahaja / matamshi Kuna uweze Kano kama litasomwa na watu 1000 matamshi Yao yakatofautiana japo maana itakuwa ni Ile ile

Rejea
Kiswahili Cha kipemba
Kiswahili Cha mzaramo
Kiswahili Cha msukuma

Neno namba mbili limewekwa rahaja ukilipeleka ulimwenguni kote litasomwa Kwa rahaja moja

Hiyo namba mbili ndicho alichokifanya saidina Othuman
 
Hamna mudi kenge wewe ,unaleta shobo kwa watu wala hawnaa time na ujinga wako.


Tatizo dogo muoga sana
 
Koran imepangwa tofauti na Muhammad alivyoipanga

Mfano

Koran 5:3 .......Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu,.....

Surah ya tano kakamilisha Uislamu na Kuna surah zaidi ya 100 mbele ?

Ni ujinga wa Allah au ni waislamu wamebadili ?
 
Kumbe lahaja (dialect) inaweza kutofautisha maana ya neno Moja?

Mfano Msukuma akasema "Embe"

Mpemba akasema "Embe"
Wanamaanisha vitu viwili tofauti? ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Huyo anajulikana kwa ujinga wake na upungufu wake wa akili , watu kama hao ni WA kuwapuuza tu hawastahili kujibiwa Wala kufanya nao mijadala.
Koran 5:3 .......Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu,.....

Surah ya tano kakamilisha Uislamu na Kuna surah zaidi ya 100 mbele ?

Ni ujinga wa Allah au ni waislamu wamebadili ?
 
Ungeuliza Ili ufundishwe alichofanya saidina Othuman
Koran 5:3 .......Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu,.....

Surah ya tano kakamilisha Uislamu na Kuna surah zaidi ya 100 mbele ?

Ni ujinga wa Allah au ni waislamu wamebadili ?
 
Huyo malaria unaezana nae WEWE ndugu,

Maana anahitaji lugha ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ