Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ndiyo hivyo.Duh! Huyo mama inaonekana hapendi unafiki.
Sasa wabongo wanaopenda shobo za kufakamia viongozi hawawezi kuielewa hii familia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hivyo.Duh! Huyo mama inaonekana hapendi unafiki.
Unajuaje marehemu alitaka viongizi wa chama wawepo?Ule ni msiba wa hadhi ya Mwenyekiti wa chama
Wakati anahudumia hakuwa analipwa? Acheni ushabiki wa kipumbavu. Hakuna mtu ambaye hajahudumia nchi yake kwa nafasi aliyopo. Hata Mama Ntilie anahudumia taifa kwa kuuza chakula kwa walalahoi. Bodaboda nao wanasaidia taifa kwa usafiri. Hayati Sarungi naye kahudumia taifa kupitia taaluma yake huku akilipwa stahiki zake zote. Kila mtanzania ana CV yake ya kuheshimiwa. Acha kutengeneza matabaka.CV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana.
Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream.
Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa kubwa.
Mtu ambaye ni muasisi wa Kitengo cha MoI. Leo ukisikia maelfu ya vijana wanaopata ajali za bodaboda wakapelekwa MOI , tujue tu kuwa hiyo Taasisi ni brainchild ya Profesa Sarungi.
Mtu aliyehadhiri nchi hii na kusaidia kutengeneza mamia ya wataalamu wa tiba nchini
Mtu ambaye ameshakuwa na dhamana ya majeshi yetu kama waziri wa Ulinzi. Huyu bila shaka kwa nafasi hiyo amehudumu kwa uzalendo mkubwa, na hata leo rais anapojihisi ufahari wa kuwa na majeshi yanayomtii ajue tu amevikuta vinaelea lakini vimeundwa. Na Sarungi kachangia
Mtu ambaye amekuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na serikali yake eti Leo anasusiwa Msiba na CCM na Mwenyekiti wake!
Kwa kweli hii imeniogopesha, kumbe kuna watu wakigombana na Mtoto wanachukia hadi wazazi!
Hatari sana hii!
Makamu mwenyekiti CCM Mzee Wasira, Rais Mstaafu Kikwete, Waziri Ridhiwani na viongozi wengine wa chama na serikali walifika msibani, je hao hawatoshi? Tatizo lenu ni upumbavu wa kutaka Rais aende...kwenye msiba wa Mh. Lowassa, ccm waandaji wa historia ya marehemu wamekataa kuandika Lowassa alihama ccm na kugombea urais kupitia chadema, unaona ni watu wenye fikara njema hawa? na ajabu kwenye kauli mbiu yao ya uchaguzi 2025 wanasema UTU utu gani wanaouongelea?? Mtu km Profesa Sarungi unasusiaje msiba wewe ni kiongozi kwa sabb za kutokuelewana na mtoto wake..huwa hatuendi msibani kwa sababu ya mume, mke, watoto..baba au mama, tunahufhuria msiba kwa heshima ya marehemu, matendo yake na si matemdo ya mtoto au mke! chama hiki kimeoza halafu wanasema utu..utu upi wanabeba vinyongo wakati wao ni viongozi!
Wachumia tumbo wale unawaitaje viongozi mkuu?? They are fighting for their stomachs mkuu.utu upi wanabeba vinyongo wakati wao ni viongozi!
Hujui kitu wewe, Shut Up!Makamu mwenyekiti CCM Mzee Wasira, Rais Mstaafu Kikwete, Waziri Ridhiwani na viongozi wengine wa chama na serikali walifika msibani, je hao hawatoshi? Tatizo lenu ni upumbavu wa kutaka Rais aende.
Wewe housegirl wa Mbowe punguza hasira.Hujui kitu wewe, Shut Up!
Kuna nafasi ukifika serikalini wewe unakuwa ni mali ya umma. Acha ujuaji. Uliwahi kuona CDF Mstaafu anafariki kisha anazikwa kiraia??Mkuu,
Bila ya kujali malezi na elimu ya Maria, wala sababu zake za kutokuja kumzika baba yake, hili ni jambo la familia ya Sarungi.
Kwa nini watu baki wasio wa familia wanajiona wana haki ya kuiingilia hii familia kwenye mazishi ya mzee wao?
Unajuaje kuwa Profesa Sarungi mwenyewe alitaka kuzikwa na hao viongozi wa chama na serikali?Kuna nafasi ukifika serikalini wewe unakuwa ni mali ya umma. Acha ujuaji. Uliwahi kuona CDF Mstaafu anafariki kisha anazikwa kiraia??
Unajuaje marehemu alitaka viongizi wa chama wawepo?
ccm na uongozi wake kwa mtu aliekuwa msafi siyo fiasadi hawana ujamaa naye ukiwaona kwenye msiba basi huyo marehemu alikuwa mtu wa Dili mwenzaoCV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana.
Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream.
Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa kubwa.
Mtu ambaye ni muasisi wa Kitengo cha MoI. Leo ukisikia maelfu ya vijana wanaopata ajali za bodaboda wakapelekwa MOI , tujue tu kuwa hiyo Taasisi ni brainchild ya Profesa Sarungi.
Mtu aliyehadhiri nchi hii na kusaidia kutengeneza mamia ya wataalamu wa tiba nchini
Mtu ambaye ameshakuwa na dhamana ya majeshi yetu kama waziri wa Ulinzi. Huyu bila shaka kwa nafasi hiyo amehudumu kwa uzalendo mkubwa, na hata leo rais anapojihisi ufahari wa kuwa na majeshi yanayomtii ajue tu amevikuta vinaelea lakini vimeundwa. Na Sarungi kachangia
Mtu ambaye amekuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na serikali yake eti Leo anasusiwa Msiba na CCM na Mwenyekiti wake!
Kwa kweli hii imeniogopesha, kumbe kuna watu wakigombana na Mtoto wanachukia hadi wazazi!
Hatari sana hii!
Hii si hypothetical.Hatujadili hypotheticals, seeing is believing
ni sahihi Rais kutokwenda, marehemu ni mwanasiasa mstaafu, safu ya viongozi walioenda inatosha sana kuonyesha uwepo wa serikaliKwani imeshindikana vp Rais kuungana na familia kwenye msiba au kumtuma makamu wake. Wakaona wamtume Riz Moko. Huu kweli ni uungwana!? La hasha!
uwepo wa serikali msibani ni wakutoshaMakamu mwenyekiti CCM Mzee Wasira, Rais Mstaafu Kikwete, Waziri Ridhiwani na viongozi wengine wa chama na serikali walifika msibani, je hao hawatoshi? Tatizo lenu ni upumbavu wa kutaka Rais aende.
Sio suala la kutaka, bali ni lazima. Jifunze kutofautisha hayo mambo mawili.Unajuaje kuwa Profesa Sarungi mwenyewe alitaka kuzikwa na hao viongozi wa chama na serikali?
Watanzania wengi kama wewe hamjui hata uhuru wa mtu binafsi ni nini.Sio suala la kutaka, bali ni lazima. Jifunze kutofautisha hayo mambo mawili.
Mzee Mkapa (RIP) angeweza kutaka asizikwe kitaifa?? Na wahusika wangetekeleza takwa hilo??
Unaifahamu miongozo husuiana na misiba ya viongozi wa kitaifa??
Rais wa Malawi Joyce Banda alitakaga kuingia jikoni kupika chakula cha familia yake, ila wasaidizi wakamzuia asilisogelee huko.
Sasa huyo mbona alitaka ila akakatazwa??
Kuna level ukifika, wewe ni kioo cha Taifa na kamwe hauwezi kuishi kama zamani/unavyojisikia. Kubali au kataa.Watanzania wengi kama wewe hamjui hata uhuru wa mtu binafsi ni nini.
Ndiyo maana mnaburuzwa kila siku.
Mnapelekwa kama nyumbu na CCM na mnaenda tu.