Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sijawaamulia msiba uwe wapi , rudia kusoma maandishi yangu.Watoto wa Sarungi wana haki ya kuamua msiba wao uweje.
Wewe si mtoto wa Sarungi, huna haki hiyo.
Unataka kuwaibia wafiwa msiba wao uufanye wako?
Huelewi wapi?
Kwani wapi nimesema umewaamulia msiba uwe wapi?Mimi sijawaamulia msiba uwe wapi , rudia kusoma maandishi yangu.
Mimi nawashangaa watoto wake walioshindwa kuja kumzika baba yao.
Wewe upstairs haiko sawa, perception yangu inahitaji kibali cha mtu? Mbona wewe umeona sawa watoto wa Sarungi kutokuja kumzija baba yao. Kwa nini uone kushangaa kwangu ni kuwaingilia?Kwani wapi nimesema umewaamukia msiba uwe wapi?
Ukishashangaa watoto wa Sarungi hawajaja (sio wameshindwa kuja) kimzika baba yao, umeweka exowctations juwa ni lqzima waje.
Haki ya kuweka expectations katika msiba ambao si wako unaitoa wapi?
Huoni kwamba hapo ushawaamulia kuwa ni lazima waje?
Unaelewa kuwa si kila mtu ana falsafa na tamaduni kama zako za maisha?
Kwani wapi nimesema perception yako inahitaji kibali cha mtu?Wewe upstairs haiko sawa, perception yangu inahitaji kibali cha mtu? Mbona wewe umeona sawa watoto wa Sarungi kutokuja kumzija baba yao. Kwa nini uone kushangaa kwangu ni kuwaingilia?
Kama Maria Sarungi alifikiri ataitukana Serikali halafu ategemee Serikali hiyo hiyo imsaidie kuhudumia msiba wa babaake basi mwambieni afikirie tena.CV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana.
Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream.
Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa kubwa.
Mtu ambaye ni muasisi wa Kitengo cha MoI. Leo ukisikia maelfu ya vijana wanaopata ajali za bodaboda wakapelekwa MOI , tujue tu kuwa hiyo Taasisi ni brainchild ya Profesa Sarungi.
Mtu aliyehadhiri nchi hii na kusaidia kutengeneza mamia ya wataalamu wa tiba nchini
Mtu ambaye ameshakuwa na dhamana ya majeshi yetu kama waziri wa Ulinzi. Huyu bila shaka kwa nafasi hiyo amehudumu kwa uzalendo mkubwa, na hata leo rais anapojihisi ufahari wa kuwa na majeshi yanayomtii ajue tu amevikuta vinaelea lakini vimeundwa. Na Sarungi kachangia
Mtu ambaye amekuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na serikali yake eti Leo anasusiwa Msiba na CCM na Mwenyekiti wake!
Kwa kweli hii imeniogopesha, kumbe kuna watu wakigombana na Mtoto wanachukia hadi wazazi!
Hatari sana hii!
Tuaoñgozwa na mswahili mwenye Uswahili wa mitaani. Maneno kwenye kanga, taarab na vijora ndio sera zakeCV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana.
Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream.
Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa kubwa.
Mtu ambaye ni muasisi wa Kitengo cha MoI. Leo ukisikia maelfu ya vijana wanaopata ajali za bodaboda wakapelekwa MOI , tujue tu kuwa hiyo Taasisi ni brainchild ya Profesa Sarungi.
Mtu aliyehadhiri nchi hii na kusaidia kutengeneza mamia ya wataalamu wa tiba nchini
Mtu ambaye ameshakuwa na dhamana ya majeshi yetu kama waziri wa Ulinzi. Huyu bila shaka kwa nafasi hiyo amehudumu kwa uzalendo mkubwa, na hata leo rais anapojihisi ufahari wa kuwa na majeshi yanayomtii ajue tu amevikuta vinaelea lakini vimeundwa. Na Sarungi kachangia
Mtu ambaye amekuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na serikali yake eti Leo anasusiwa Msiba na CCM na Mwenyekiti wake!
Kwa kweli hii imeniogopesha, kumbe kuna watu wakigombana na Mtoto wanachukia hadi wazazi!
Hatari sana hii!
..hawatoshi ndio nini mpumbavu wewe, nenda msibani kwa niaba yako mwenyewe.Makamu mwenyekiti CCM Mzee Wasira, Rais Mstaafu Kikwete, Waziri Ridhiwani na viongozi wengine wa chama na serikali walifika msibani, je hao hawatoshi? Tatizo lenu ni upumbavu wa kutaka Rais aende.
Hakususiwa bali imetokea bahati mbaya ratiba za msiba Dar zimegongana na ratiba za vikao muhimu vya Chama Dodoma.Mtu ambaye amekuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na serikali yake eti Leo anasusiwa Msiba na CCM na Mwenyekiti wake!
Kwa kweli hii imeniogopesha, kumbe kuna watu wakigombana na Mtoto wanachukia hadi wazazi!
Hatari sana hii!
Hajaenda. Kunyweni sumu mpunguze hasira...hawatoshi ndio nini mpumbavu wewe, nenda msibani kwa niaba yako mwenyewe.
Siku hizi umeanza kuwa mweupe kichwani au uzeeUnajuaje marehemu alitaka viongizi wa chama wawepo?
Vikao vina ahirishika msiba jeHakususiwa bali imetokea bahati mbaya ratiba za msiba Dar zimegongana na ratiba za vikao muhimu vya Chama Dodoma.
P
Wewe somo la ufahamu(comprehension) ulipata sifuri(0).Maria Sarungi mwenyewe kaupotezea msiba wa baba yake mzazi.
Malezi mazuri ni jambo jema sana kwa watoto
This logical fallacy is called ad hominem.Siku hizi umeanza kuwa mweupe kichwani au uzee
Sawa,,,Ila ..This logical fallacy is called ad hominem.
An ad hominem logical fallacy happens when someone does not address the points being raised in a discussion, and instead attacks the person raising the points.
Usually, this fallacy is used by people who do not know how to follow the logic of the points raised and are intellectually too lazy to discuss the issues.
They end up mucracking and talking malarkey about personalities instead of discussing the points raised logically.
Umeelewa nilichoandika?Sawa,,,Ila ..
Kira we ni bwamdogo kwangu have been challenging u since 2010 bado unakaza fuvuUmeelewa nilichoandika?
Au unakubali tu bila kuelewa?
Wewe mwenyewe huwezi kuandika unachotaka kuandika.
Mimi nakusaidiaje sasa?
Umeelewa ad hominem fallacy ni nini?Kira we ni bwamdogo kwangu have been challenging u since 2010 bado unakaza fuvu
I'm not attacking personality here Ila jitafakari unapotea mkuuUmeelewa ad hominem fallacy ni nini?
Naona unairudia hata hapa ninapokunukuu.
Are you OK?