Hebu tuache utani, hivi inawezekanaje CCM na Serikali wakaupotezea msiba wa mtu muhimu sana kwa Taifa kama Profesa Sarungi?

Hebu tuache utani, hivi inawezekanaje CCM na Serikali wakaupotezea msiba wa mtu muhimu sana kwa Taifa kama Profesa Sarungi?

Kuna level ukifika, wewe ni kioo cha Taifa na kamwe hauwezi kuishi kama zamani/unavyojisikia. Kubali au kataa.
Sawa.

Lakini hilo halimaanishi kuwa utembee uchi kila mtu aone makende yako kwa sababu wewe ni malaya wa jamii.

Mtu yeyote, hata rais, anapaswa kuwa na uhuru wa kusema sitaki makamera kwenye msiba wangu, nataka kuzikwa na familia yangu in a private burial.

Na watu wengine wote wanatakiwa kuheshimu takwa hilo bila swali.

Tatizo nyie mshakariri msiba unatakiwa kuwa hivi bila hata kufikiria marehemu mwenyewe anataka nini.

Angalia Wamarekani wenzetu walivyoliweka hili, hata kwa marais.

Na hawa watu ndio tumeipata hiyo dhana ya urais kutoka kwao.

"While the US government offers state funerals for presidents, former presidents, and presidents-elect, the decision to hold a funeral and its specifics, including the burial location, ultimately rests with the family.

Here's a more detailed explanation:
State Funerals Offered:
The US government conducts state funerals for sitting or former presidents, presidents-elect, and other high government officials or civilians who have rendered distinguished service to the nation.

Family's Role:
The family of the deceased, upon invitation by the government, makes the key decisions regarding the funeral, including whether to hold a state funeral and how it should be conducted.

Examples of Family Choices:
Richard Nixon's family chose a simple service at the Nixon Library and Birthplace instead of a state funeral.

George Washington was buried in a modest, private ceremony at his Mt. Vernon estate, setting a precedent for private burials. "
 
Siyo Maria tu wale walioko Marekani je? Sasa km familia yake imempuuzia we unakuja kulalamika hapa km nani? Fanya mambo yako bwanandogo. Ila Maria ni mtoto wa hovyo
Walau kwa Maria kuna kisingizio lakini wale wengine wawili ambao hawana ugomvi na serikali mbano hawakuja?

Dunia nzima hakuna muajiri anamnyima mtu ruhusa kwenda kumzika mzazi wake.
 
Walau kwa Maria kuna kisingizio lakini wale wengine wawili ambao hawana ugomvi na serikaki mbano hawakuja?

Dunia nzima hakuna muajiri anamnyima mtu ruhusa kwenda kumzika mzazi wake.
Mkuu,

Haya ni maamuzi ya ndani ya familia.

Kwa nini mnataka kuwaingilia watu jinsi wanavyozika kwenye msiba wa familia yao?

Unajua kuna watu wangapi walio nje hawaji kuzika kwenye misiba ya familia zao? Unajua sababu zao? Una hata haki ya kujua sababu zao?
 
Kama Familia, Wanandugu tuliomba azikwe Utegi kijijini kwake wakagoma kuwa aliandika wosia kuwa azikwe Dar. Hata hivyo kule utegi ana mji usiostahili hadhi yake nadhani ndo maana aliandika wosia kama huo.
Kwa kweli hakuwa karibu na wanandugu.
 
Unajuaje marehemu alitaka viongizi wa chama wawepo?
..swali gani la kijinga, hivi wafiwa au marehemu huwa wanataka au hawataki mtu au watu kuja kuwafariji na kuwasaidia tatizo walilopata..unakwenda msibani kwa sababu aliyefariki ni binadamu au unakwenda kwenye msiba sababu unafahamiana na mke au mume wa marehemu..
 
Mkuu,

Haya ni maamuzi ya ndani ya familia.

Kwa nini mnataka kuwaingilia watu jinsi wanavyozika kwenye msiba wa familia yao?

Unajua kuna watu wangapi walio nje hawaji kuzika kwenye misiba ya familia zao? Unajua sababu zao? Una hata haki ya kujua sababu zao?
Hili jambo sio kwamba tunawaingilia.

Profesa Sarungi ni public figure kwanza tambua hilo. Pili ni utamaduni wetu waafrika kuwazika wazazi, ukimzika mzazi wako hatushangai ila usipomzika mzazi wako lazima tushangae.

Hakuna justification ya mtoto kutomzika mzazi. Kama unaona ni sawa mtoto asimzike mzazi kwa nini unamlaumu rais kutokuja kwenye msiba? Nani alipaswa kuja rais au mtoto?
 
Profesa Sarungi kuwa public figure haina maana kuwa wewe una haki ya kuipangia familia jinsi ya kuzika.

Hoja ya utamaduni wa waafrika ni argument from tradition logical fallacy. Kwanza familia ya Sarungi upande mmoja si Waafrika ni wa Hungary.

Tatizo mnashangaa shangaa sana kwa mambo yasiyowahusu.

Unasema namlaumu rais kutokuja kwenye msiba, wapi nimemlaumu rais kutokuja kwenye msiba?

Hata kusoma hoja zangu unasoma?

Mimi sijamlaumu rais kutokuja kwenye msiba, mimi nasema msiba ni jambo la familia na watu wasio wa familia hawana haki ya kumlaumu yeyote, akiwamo rais, kwa sababu hawajui familia inataka nini.

Unamlaumuje rais kutokuja kwenye msiba wakati hujui kama Profesa Sarungi alitaka au hakutaka rais aje kwenye msiba?

Hiyo ndiyo hoja yangu.

Wewe hujanisoma wala kunielewa.

Umerukia kunijibu kwa muhemko tu.
 
CV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana.
Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream.
Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa kubwa.

Mtu ambaye ni muasisi wa Kitengo cha MoI. Leo ukisikia maelfu ya vijana wanaopata ajali za bodaboda wakapelekwa MOI , tujue tu kuwa hiyo Taasisi ni brainchild ya Profesa Sarungi.

Mtu aliyehadhiri nchi hii na kusaidia kutengeneza mamia ya wataalamu wa tiba nchini

Mtu ambaye ameshakuwa na dhamana ya majeshi yetu kama waziri wa Ulinzi. Huyu bila shaka kwa nafasi hiyo amehudumu kwa uzalendo mkubwa, na hata leo rais anapojihisi ufahari wa kuwa na majeshi yanayomtii ajue tu amevikuta vinaelea lakini vimeundwa. Na Sarungi kachangia

Mtu ambaye amekuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na serikali yake eti Leo anasusiwa Msiba na CCM na Mwenyekiti wake!

Kwa kweli hii imeniogopesha, kumbe kuna watu wakigombana na Mtoto wanachukia hadi wazazi!

Hatari sana hii!
Halafu utashangaa akifariki Job ndugai yatakazana msibani huku yakitoa matamko ya kumsifu
 
Mkuu,

Bila ya kujali malezi na elimu ya Maria, wala sababu zake za kutokuja kumzika baba yake, hili ni jambo la familia ya Sarungi.

Kwa nini watu baki wasio wa familia wanajiona wana haki ya kuiingilia hii familia kwenye mazishi ya mzee wao?
Nadhani mkuu sababu ni mazoea yetu, waafrica ni watu wa kujumuika pamoja kwenye matatizo kama haya ya misiba nadhani shida ndio ilianzia hapo.

Lakini, kiuhalisia upo sahihi sana misiba ni privacy maana hata huko ulipo mkuu huwa naona mingine mpaka kadi ya mwaliko.
 
Profesa Sarungi kuwa public figure haina maana kuwa wewe una haki ya kuipangia familia jinsi ya kuzika.

Hoja ya utamaduni wa waafrika ni argument from tradition logical fallacy. Kwanza familia ya Sarungi upande mmoja si Waafrika ni wa Hungary.

Tatizo mnashangaa shangaa sana kwa mambo yasiyowahusu.

Unasema namlaumu rais kutokuja kwenye msiba, wapi nimemlaumu rais kutokuja kwenye msiba?

Hata kusoma hoja zangu unasoma?

Mimi sijamlaumu rais kutokuja kwenye msiba, mimi nasema msiba ni jambo la familia na watu wasio wa familia hawana haki ya kumlaumu yeyote, akiwamo rais, kwa sababu hawajui familia inataka nini.

Unamlaumuje rais kutokuja kwenye msiba wakati hujui kama Profesa Sarungi alitaka au hakutaka rais aje kwenye msiba?

Hiyo ndiyo hoja yangu.

Wewe hujanisoma wala kunielewa.

Umerukia kunijibu kwa muhemko tu.
Mkuu nadhani jamaa anafikiri kwamba mtu maarufu lazima azikwe kwa Mbwembwe nyingi kulingana na umaarufu wake huku anashindwa kutambua kwamba familia husika ndiyo hua inaamua mazishi yafanyike kwa utaratibu upi na watu gani wahudhurie.

Wengine hawapendi Mbwembwe na unafiki toka kwa watu ambao hata hawakutia mguu kipindi ndugu yao anaumwa.

Labda akisoma hapa ataelewa.
 
Hii ni point ndogo sana ambayo haihitaji falsafa kubwa wala kipimo cha lab ya kisayansi kuielewa.

Lakini Watanzania wengi hawana uwezo wa kuielewa.
 
Ulitaka ahudhurie nani ili uridhike?.hii nchi ina watu wa ovyo sana wanaopenda kuandika ujinga mitandaoni.
 
Profesa Sarungi kuwa public figure haina maana kuwa wewe una haki ya kuipangia familia jinsi ya kuzika.

Hoja ya utamaduni wa waafrika ni argument from tradition logical fallacy. Kwanza familia ya Sarungi upande mmoja si Waafrika ni wa Hungary.

Tatizo mnashangaa shangaa sana kwa mambo yasiyowahusu.

Unasema namlaumu rais kutokuja kwenye msiba, wapi nimemlaumu rais kutokuja kwenye msiba?

Hata kusoma hoja zangu unasoma?

Mimi sijamlaumu rais kutokuja kwenye msiba, mimi nasema msiba ni jambo la familia na watu wasio wa familia hawana haki ya kumlaumu yeyote, akiwamo rais, kwa sababu hawajui familia inataka nini.

Unamlaumuje rais kutokuja kwenye msiba wakati hujui kama Profesa Sarungi alitaka au hakutaka rais aje kwenye msiba?

Hiyo ndiyo hoja yangu.

Wewe hujanisoma wala kunielewa.

Umerukia kunijibu kwa muhemko tu.
Hata wewe huna haki ya kutupangia tusicomment kuhusu huu msiba.

Sasa kama hili jambo ni private kiasi hicho mbona linaandikwa katika media? Misiba yote iliyofanyika siku hiyo iliandikwa katika media?

Tuna haki ya kutoa maoni kwa jambo lolote linalokuja public ndio maana hata wewe umetoa maoni yako japo hayana mashiko.

Sarungi sio mzungu ni mjaluo. Kuoa mzungu hakumfanyi asiwe mjaluo.

Nasi kwa utamaduni wetu mtoto anapaswa kumzika mzazi wake asipomzika tutashangaa.Kanma wewe unaona ni sawa mwanao asikuzike ni mtazamo wako lakini sehemu kubwa ya jamii ya kuafrika inaamini mtoto lazima amzike mzazi wake. Ndio maana hata sheria za kazi zinatambua ruhusa/ likizo kwa ajili ya kwenda kuzika; pia na waajuri wana package ya rambirambi kwa ajili ya misiba ya wazazi.
 
Watoto wa Sarungi wana haki ya kuamua msiba wao uweje.

Wewe si mtoto wa Sarungi, huna haki hiyo.

Unataka kuwaibia wafiwa msiba wao uufanye wako?

Huelewi wapi?
 
Back
Top Bottom