Here u are,zamani mada zako zilifikirisha na tulizisoma kwa tafakari kuu, sikuhizi unalinganana na kina Luka,Joni et al
Bado hujaeleza point.
Hujaeleza hiyo point yangu unayoidogosha ni ipi, mapungufu yake ni yapi.
Tuijadili point.Si kumjadili Kiranga.
Mpaka sasa hujadili point, unanijadili mimi.
Ad hominem logical fallacy.
Mpaka hapa naona tatizo ni wewe ndiye huna uwezo wa kuelewa points zangu, si mimi.
Umeshindwa hata kuelezea nimekosea point gani.
Huna hata uwezo wa kujadili point unanijadili mimi.
Nilitegemea uniambie mimi zamani nilikuwa nakuja na point hii na hii za maana, leo nimekosea nimeleta point hii na hii, hizi points za leo zina mapungufu haya na haya.
Hujanieleza mapungufu yangu yako wapi.
Unanishambulia tu personally generally kama mtu ambaye hana uwezo wa kujieleza.
Ad hominem logical fallacy.