Nchi hii kwa mfumo wetu wa Elimu, kama hukusona Form six, ukapata degree,Form four failure anafanyaje post-graduate manchester university?.. anafanyaje advanced diploma IDM mzumbe?!..unajua hata maana ya kufeli?
Hivi hata kufikiri unafikiri, yaani upite certificate, diploma, degree halafu useme siyo elimu rasmi?.. unajua maana ya rasmi?..una kiwango gani cha elimu wewe?Nchi hii kwa mfumo wetu wa Elimu, kama hukusona Form six, ukapata degree,
Hiyo SI Elimu rasmi.
Sasa kwa kuomba Nafasi nyeti, ni muhimu kukaa Pembeni ukawaacha wenye vigezo.
Du! Pipa na mfuniko wake vimenifurahisha sana leo, vinaoana kama kinyago cha mpapule. 😆Ndo mana wanapendana sana
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa ChoiceVariableHivi unaijua elimu ya Rais Samia kwa mtaala wa Tanzania?
Hivi mnajua kuwa kidato cha nne hakufanya vizuri?
Hivi mnajua huyu ndiye Rais wetu na hii ndiyo level yake ya elimu?
Baada ya hapo akaenda chuo kikuu cha mzumbe kusomea diploma ya utumishi wa umma.
Soma pia: Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
View attachment 3444855
Diploma ni diploma,Hivi hata kufikiri unafikiri, yaani upite certificate, diploma, degree halafu useme siyo elimu rasmi?.. unajua maana ya rasmi?..una kiwango gani cha elimu wewe?
Elimu ya binadam alikua nyaniElimu yake na uongozi wake vinaendana.
Kuna tofauti ya diploma na advanced diploma, advanced diploma nchi hii wakihesabika elimu ya juu na wakipata mikopoDiploma ni diploma,
Sasa kusema Diploma inaweza kuwa Equivalent to degree ndio chenga
Si unaona ulivyo mpumbavu!!.. huwezi toka form four kwenda diploma nchi hii,ukitoka form four unaenda certificatezenyewe.
By the way ukifail form four, itatimia vigezo vipi kwenda diploma ikiwa ulitaga kabisa olevel
Rabiu Clock8Unamaanisha Mwananchi akihoji Elimu ya mgombea wa CCM jukwaani,
Atashughulikiwa?
Ndio nasemaje,Kuna tofauti ya diploma na advanced diploma, advanced diploma nchi hii wakihesabika elimu ya juu na wakipata mikopo
Si unaona ulivyo mpumbavu!!.. huwezi toka form four kwenda diploma nchi hii,ukitoka form four unaenda certificate
Tuache dharau,Kuna tofauti ya diploma na advanced diploma, advanced diploma nchi hii wakihesabika elimu ya juu na wakipata mikopo
Si unaona ulivyo mpumbavu!!.. huwezi toka form four kwenda diploma nchi hii,ukitoka form four unaenda certificate
Sperms zangu zingekuletea. Maendeleo unayozungumzia sijaona. Ni haya ya kila mtu kuiba awezavyo? Ukilaza ndo tatizo. Kodi kwa matajiri hakusanyi anasema hawabinyi sana. Anawabana maskini kwa tozo na kodi kubwa kuwafaidisha matajiri. Sisi tulio nje ya nchi tunajua madudu mengi ya hovyo sababu ya ukilaza wa kiongozi.Nani anaiba na onyesha huo wizi.
Hayo yangekuwepo haya maendeleo tunayoyajadilo hapa yeletwa na kamasi zako?
Ujanja ujanja tu...Form four failure anafanyaje post-graduate manchester university?.. anafanyaje advanced diploma IDM mzumbe?!..unajua hata maana ya kufeli?
Elimu straight ndiyo ikoje we maamuma!?Ndio nasemaje,
Nafasi hiyo ni nyeti,
Tunataka wenye Elimu straight SI ya kuunga unga na super glue,
Wewe mbumbumbu,rais gani kipindi chake hapakua na rushwa,mikopo?..wakopeshaji hawakukopeshi kama huna uwezo wa kulipaNia ni njema tupate matokeo Bora, nadhani unaona rushwa ilivyokithiri,na haikemewi, madeni yanazidi ,mikopo italipika vipi ikiwa tunakopa zinakuja kuibwa na hawawajibishwi?
Hayo ni matokeo ya UWEZO mdogo kielimu.
Tushuke kumwaga oil, tupate mgombea mwenye capacity.
Form four failure hana cheti, sababu necta hawatoi cheti kwa mwenye zero (failure)Tuache dharau,
Polisi tuwaajiri na form four failule,
Pia na Nafasi nyeti namna Ile pia apenye form four failule?
chiembe ,Ritz ,Lucas mwashamba
Huwezi kufika elimu ya juu kwa ujanja ujanjaUjanja ujanja tu...
Ana Elimu ya hapa na paleHivi unaijua elimu ya Rais Samia kwa mtaala wa Tanzania?
Hivi mnajua kuwa kidato cha nne hakufanya vizuri?
Hivi mnajua huyu ndiye Rais wetu na hii ndiyo level yake ya elimu?
Baada ya hapo akaenda chuo kikuu cha mzumbe kusomea diploma ya utumishi wa umma.
Soma pia: Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
View attachment 3444855