Hebu tujikumbushe kidogo elimu ya mgombea urais wa CCM

Elimu yake na uongozi wake vinaendana.
Wengine wenye elimu nzuri hadi mkaitwa mangwine, mmo mitandaoni mnapunguza stress kwa kauli za "Makonda hajasoma", "Samia hajasoma"! Ahahahahaha!
Elimu na maisha ni vitu viwili tofauti madogo! Elimu inatakiwa ikusaidie kwenye maisha. Ukiwa na elimu kubwa ila unajaza stress mitandaoni, jua elimu yako ni BURE KABISA!!
 
Kuna wakati watu wanajitafutia matatizo wenyewe, msidhani watu tunajiona hatutambuliki kwa kuwa tunatumia majina ya bandia kwenye mitandao lakini wakitaka kutupata wanaweza kabisa. Sasa tujaribu kuwaheshimu viongozi wetu hata kama hatukubaliani nao, tukiwa na hoja tuizungumzie hoja kwa manufaa ya taifa si kwa ajili ya mtu.
 
Unakumbuka aliyehoji PhD ya jiwe? Nini kilimpata?
 
Kwa kile kimkoa, mwenye division iv, zero au cheti cha madrasa ni msomi kama alivyo msomi mwingine duniani.

Kwa miaka mingi wale jamaa wamekuwa wakipiga zero form four lakini ndio wamejazana wizara ya muungano na sasa ndio maDC wetu.
 
Kwa kile kimkoa, mwenye division iv, zero au cheti cha madrasa ni msomi kama alivyo msomi mwingine duniani.

Kwa miaka mingi wale jamaa wamekuwa wakipiga zero form four lakini ndio wamejazana wizara ya muungano na sasa ndio maDC wetu.
Siku hizi mbona wanafaulu, mlikua mnawafanya nini huko baraza?
 
Kweli kab
Form four failure hana cheti, sababu necta hawatoi cheti kwa mwenye zero (failure)
Mfumo wa elimu wa Taifa wa kiboya. Wasomi wanakariri tu na hawaelewi. Sio LAZMA kwenda form 5 ni kupoteza tu muda. Mwanangu alipata 1.7 nikamwambia usipoteze muda kwenda five.
Mtu aliefeli ni mtu aliepata ziro na hua hapewi cheti. Degree ni hiyohiyo...kuungaunga ni misemo yenu
Bora angekuwa alijikalia kimya kuliko kuhamasisha ujinga huo ndomana watoto sasahivi hata akipiga one Bora kiasi Gani kwenda kidato Cha tano wanazingua sana mwanangu ilibidi nimtolee pa
 
Kwani alienda certificate na alienda form five, degree zao Zina TOFAUT Gani?? Vyeti vinatofautiana??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…