Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Sasa wewe shuleni umeenda kuhesabu matundu ya choo au?babu ushalewa kamnyweso
😎Marahaba
Nasikia kila leo hili neno Babu
And I'm proud [emoji122]
Asante kwa heshima
Niliacha hiii tabia mama😅🤣🤣🤣umeacha au bado akili hajakaa sawa
Irudiwe wajukuu zake tulikuwa hatujanunua tachi screenMwenzangu
Arudi tukairudie
Sikuwepo 🤣
😀😀Mwenzangu
Arudi tukairudie
Sikuwepo 🤣
Kwa hiyo tukafukue makaburi eti [emoji1][emoji3][emoji3]
Itabidi iwe hivyoKwa hiyo tukafukue makaburi eti [emoji1]
BodaBoda yuko Verified?! 😳😳😳Ajira yangu ya kwanza...ilikuwa kwenye mradi wa mwendo Kasi kipindi unaanza, nikiwa mlinzi {china Tanzania security} mshahala ulikuwa 150,000/=...baadae nikaamia Gardaworld ambako MSHAHARA nilikuta wanalipa 250,000/=Kwasasa natengeneza Zaidi ya 600k za kitanzania...
Miezi ya hivi karibuni nikaamia insight ambako walikuwa wanalipa 370,000/= baada ya kuona kuendesha pikipiki kunalipa Zaidi niliamua kuacha kazi hiyo ya mwisho...nikajiajili kama dereva wa pikipiki a.k.a boda boda😀😀😀😀View attachment 2691961
Mama hawezi kula cha mwana anapewa tu😅😅😅Niliacha hiii tabia mama😅
Ulikula yangu mwaka gani?
Nidokeze mshahara wako wa kwanza please😅Mama hawezi kula cha mwana anapewa tu😅😅😅
AaahaaaKwa hapa JF wote wanakazi na wote walipata kazi 2007 kushuka chini
Jobless tukae pembeni kidogo
goli kipa hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nidokeze mshahara wako wa kwanza please😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kula chuma hicho, dada mkubwa nanyoosha mikono.Shukrani
Hongera lakini....goli kipa hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na wewe umeamini kuwa mwaka 1960 alikuwa anapata $2000?Naamini kwasasa utakua umefanya mengi makubwa mkuu, hongera sana..😊