Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

Ajira yangu ya kwanza...ilikuwa kwenye mradi wa mwendo Kasi kipindi unaanza, nikiwa mlinzi {china Tanzania security} mshahala ulikuwa 150,000/=...baadae nikaamia Gardaworld ambako MSHAHARA nilikuta wanalipa 250,000/=
Miezi ya hivi karibuni nikaamia insight ambako walikuwa wanalipa 370,000/= baada ya kuona kuendesha pikipiki kunalipa Zaidi niliamua kuacha kazi hiyo ya mwisho...nikajiajili kama dereva wa pikipiki a.k.a boda boda😀😀😀😀View attachment 2691961
Kwasasa natengeneza Zaidi ya 600k za kitanzania...
BodaBoda yuko Verified?! 😳😳😳

Moderator hebu toeni hicho kitiki mtuwekee watu executive bana
 
Back
Top Bottom