Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Alfu mbili nilikuwa na mika chini ya 7Nimejikuta nawaza tu....
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.
Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Ajira yangu ya kwanza (baada ya kumaliza Form Six 1976) ilikuwa na mshahara 760/= (Shilingi), ondoa kodi Sh. 90, take home Sh. 670/- (zilikuwa nyingi saaaaaana).
Enzi hizo noti kubwa ilikuwa ya Shilingi 10.
Enzi hizo 1$ = 7 Shillings, 1£ = 20 Shillings.
Nilimaliza degree mwaka 1981, mshahara ulikuwa Sh. 1,400/-, nakumbuka wenzetu walioapply kwenye mashirika na kufanikiwa walikuwa na mshahara kwenye Sh. 2,000/-.
Waliokuwa wakifanya kazi East African Community ndiyo wakipata mishahara mikubwa.
bila ya wasiwasi, hao wajukuu siku hizi hatulei, nyinyi watoto munaona sisi tunawadekeza.Bilashaka saizi umetulia nyumbani unalea wajukuu na ukitafuna mafao yako taratibu kabisa huku unaperuzi hili jamvi..😊
unashangaa au unatafakari? Jitahidi na wewe upige hatua Inshallah[emoji848]
laki tisa au shilingi mia tisa?Mwaka 1983 nilianza kazi Serekalini kwa mshahara al_maarufu enzi hizo; "Four Figures" Gross salary ilikuwa Tsh 1050. Baada ya makato ilikuwa inagota laki 9.... Mihela mingi tu wakati huo. 😂
Badhi ndo nn?😀😀😀😀nahisi utakuwa na vinasaba vya kizanzibari/kingazija. Huu usemi umenikumbusha marehemu bibi yangu. SIna kazi wala badhi😀😀
Chini ya miaka 10 ukavuka toka elfu 70 mpaka 1.6M2009 Niliajiriwa posta mshahara ulikuwa ni Elfu 70 (elimu nilikuwa nimemaliza kidato cha nne shemeji yangu akanipigia pande hapo)
2017 nikapata ajira rasmi mashahara nilianza na 1.6 milioni
Plus over time 40K per day
Housing laki 2 na busy
Transport laki na nusu
N.K
Mwaka 1997.Tanzania Tobacco Leaf Company (Ltd).Mshahara Tsh.33,000/=Nimejikuta nawaza tu....
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.
Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
Also graduated 1981.laki tisa au shilingi mia tisa?
Wewe tuko age group moja mimi nilimaliza degree 1981
Unabisha mkuuMmmmmh
Mimi sio slay qeenUtauweza mshahara wa house girl wewe slay qeen [emoji2]
Mh mjumbe naomba nikae kimya...[emoji41]Nimejikuta nawaza tu....
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.
Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
Tsh mia tisa -900.laki tisa au shilingi mia tisa?
Wewe tuko age group moja mimi nilimaliza degree 1981
Tunaishi kijanja sana humu.Mshahara wangu wa kwanza ni mwezi wa 4 mwaka huu 150,000 Car wash
Asante sana kwa ushauri acha nipande nilizokuwa napanda tu P&OSikushauri aisee, historia isije kujirudia.
Bado tunakutaji hapa jukwaani.
Simu yangu iliibiwaTunaishi kijanja sana humu.
Ule uzi wa "Ulikuwa wapi mwaka 2006, wewe ulisema ulikuwa kwenye mafunzo kwa Vitendo Peramiho Hospital " [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuliuza nyumba kwa Tsh 700 tuZamani, mshahara ulikuwa shs.450 yaani mia nne hamsini