Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mnafukua ya kale [emoji1]Tunaishi kijanja sana humu.
Ule uzi wa "Ulikuwa wapi mwaka 2006, wewe ulisema ulikuwa kwenye mafunzo kwa Vitendo Peramiho Hospital " [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hongera tena badala ya kunipa pole na kunipatia ujira wa u house geloHongera lakini....
Upate funzo kwa kaka yako hapa maana nimepitia mengi😅
🤣🤣🤣🤣 ewaaa wazee hawatongozi wala haji pm kuuliza wapi hiyo ☺[emoji1] [emoji1787] [emoji23]
Hao naona watakuwa Rika lenu tu maana wazee huwa hatutongozi bali uvaaji tu na mwendo au hotel tunazotoka utajua ooh acha nijipitishe pitishe [emoji1] [emoji1787]
Aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ewaaa wazee hawatongozi wala haji pm kuuliza wapi hiyo [emoji5]
Anauliza tu are you free this weekend let's go to zanzibar
Hapo sasa unajiongeza[emoji41]
Mwaka 1970 shilingi 240 EACNimejikuta nawaza tu....
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.
Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
mh!!2000 kazi ya ulinzi 105000/=
Hongera sana mwalimuNdio nazaliwa mkuu
Nakupa hongera kwa mengi 😅Hongera tena badala ya kunipa pole na kunipatia ujira wa u house gelo
Nidokeze kidogo niyajue uliyopitia
Yaani mimi kumpa mtu 10,000 naona nimemtukana [emoji1] [emoji1787] au kumvunjia heshima kabisaHawa vijana wa sasa hv tabu tupu babu...afu hamsini wanaitoa huku wanalia machozi au hawatoi kabisa
Hi ndyo tofauti ya daddie na babe 😇Yaani mimi kumpa mtu 10,000 naona nimemtukana [emoji1] [emoji1787] au kumvunjia heshima kabisa
Bora hata Laki
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Simu yangu iliibiwa
Huyu wa ka woshi ndio mimi sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnafukua ya kale [emoji1]
Yaani humu ukidanganya imekula kwako
Kuna watu mna kumbukumbu daa
AhahahahMshahara wangu wa kwanza ulikuwa 700,000 June 2009 aisee siku uliyoingia huo mshahara katika account yangu Hadi kutembea kwangu kulibadirika
Senti 5 tena ile iliyokuwa na tobo ilikuwa na thamani sanaZamani, mshahara ulikuwa shs.450 yaani mia nne hamsini
Hongera kwa mengi kama yapi🤔Nakupa hongera kwa mengi 😅
Kingine Tatizo unahitaji ukianza hata hiyo kazi ya housegelooo salary iwe kubwa bora ubaki tu nyumbani maana utakonda hadi nafsi kwa malipo kidogo.
Fika huku kijijini ninapoishi tuzungumze vizuri kuhusu hiloHongera kwa mengi kama yapi🤔
Bora ya malipo kidogo kuliko kukaa mtupu itasidia kupata mtaji kwa kudunduliza
hebu weka malipo niumize kichwa
Na enzi zile unatanua kweli kweli na fedha hizo.Tsh mia tisa -900.
Tz vijiji ni vingi hebu weka location vizur🤣🤣🤣🤣Fika huku kijijini ninapoishi tuzungumze vizuri kuhusu hilo
Hatuwezi kunyimana mambo mazuri