Heshima yako mkuu, Mungu azidi kubariki kazi za mikono yako...🙏Sijawahi ajiriwa Kwa mshahara wa mwezi ila job niliyokuwa nafanya KIPINDI hicho 2015-2017 mwanzoni ilikuwa sikosi 40000 au 20000per day siku job zikiwa ngumu Basi 10000
Kwa laki 2 ...riba ya mwezi ni ngap?Kazi yangu ni hii.
mikopo.. laki 2, riba elfu 10 kila siku🙌🙌
ila nakopesha kwa wiki riba 20%View attachment 2691837
umepigia rate ya mwaka huo 1982?TSh 2,173,500 ulisomea Pharmaceutical Science, Mining Engineering au Unahodha?
Baharia
....
✍️
piga 20% kwa wiki utapata kwa mweziKwa laki 2 ...riba ya mwezi ni ngap?
Per diem ukienda field ama ?2021
Tgs.c
Per diem nimekuta 60k now tunakula 130k/150k
Mmmh aise2008 mshahara 1.9m
1980 nimepiga ya sasa Ila kipindi hicho sawa na $3,483 ambayo ni sawa na TSHS 8,514,941.01umepigia rate ya mwaka huo 1982?
Mkuu kama nilivyosema hapo juu nilitoka huko na kuhajiri nchi nyingine na hela ya huko iko juu sana kwa thamani yaani $3 ndio yao 1TSh 2,173,500 ulisomea Pharmaceutical Science, Mining Engineering au Unahodha?
Baharia
....
[emoji3578]
Ajira yangu ya kwanza ilikuwa mwaka 2000, niliipata nikiwa bado chuo (UDSM), namalizia malizia. Ilikuwa 14 July 2000. Mshahara wangu wa kwanza ulikuwa Tshs. 250,000/- (net pay).Nimejikuta nawaza tu....
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.
Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
Good nimekuelewa vizuri mkuu,Mkuu kama nilivyosema hapo juu nikitoka huko na kuhajiri nchi nyingine na hela ya huko iko juu sana kwa thamani yaani $3 ndio yao 1
The most valuable currency in the world hiyo mkuu na mpaka sasa
Wala sina elimu kihivyo bali ndio mshahara nilioanzia
Na uzuri ukioa mshahara unaongezeka na ukipata mtoto mshahara unaongezeka
Ukiongeza mke unacheka tu
Kuna jamaa zangu walikuwa na wake 3 watoto dozens
Ningekuwa petroleum engineer kwa sasa ningewekeza kwenye Gas huko kwa mishahara ilivyokuwa minono
YesPer diem ukienda field ama ?
2020 nikilipwa $ 1500 2022 kibarua kikaota nyasi kwa sasa napiga day works kwa siku $20
Too sad! 😔Ilikua pesa mingi kipindi hiyo...kilo ya Nyama ilikuwa 2500 huku niliko .....leo hii kilo 9000!....imagine?! 3+times today rate!...
Na bado watu wanalipwa hii hela KWA sasa na maisha yanaendelea!