Uchaguzi 2020 Hebu tutafakari sera zinavyonadiwa na mgombea wa CCM John Magufuli na yule wa CHADEMA Tundu Lissu

Mkuu hiyo si hoja,hoja hapa ni STOP ORDER iliyotolewa na mahakama kuzuia ubomoaji hadi madai ya wananchi walalamikaji wanaopinga kuondolewa bila fidia shauri lao lisikilizwe.
Serikali ikakiuka amri hiyo.
Kilichofuata utafikiri ni vita ya kumuondoa Nduli Iddi Amin.
Lakini Kimara hawajasahau japo ni wanyonge.
 
Uhuru, Haki na Maendeleo ya wananchi.
VS
Ununuzi wa ndege.

Ipi sera nzuri hapo ya kumkwamua mwananchi kutoka kwenye lindi la umasikini unaomkabili?


Mwaka 2016 viongozi wa
@ChademaTz
hawakuhudhuria siku kuu ya wafanyakazi baada yakualikwa na TUCTA, pia kuanzia mwaka 2017 hadi sasa haijawahi kuhudhuria SASA HIZI MBWEMBWE za
@TunduALissu
kujidai kuwa anawatetea wafanyakazi wakati huu wa uchaguzi ni uhuni na utapeli wa kisiasa
 
Halafu Baba Mwenye Ghorofa aliyewalisha nyasi anakufa anamanlizia nyasi.. anawaachia grorofa mnaendelaje kula kuku mpaka mnazeeka... No pain No Gain.. iko hivyo toka Beginning of times.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kuku mnakula toka wapi na ye kafa kawaachia mzigo wa lighorofa lake litakalowashinda kukarabati maana wakati analijenga hakukumbuka kuwekeza kwenu ili mje kuwa na uwezo wa kulisimamia,..hamsini moja hamsini majinuun,..mwisho wa siku tunaliuza tu maanà wa kulisimamia hayupo.
 
Mwanza kwanini kusiwe na malaria mkuu
unatumia akili za chama au zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…