chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Rungwe jembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hiyo si hoja,hoja hapa ni STOP ORDER iliyotolewa na mahakama kuzuia ubomoaji hadi madai ya wananchi walalamikaji wanaopinga kuondolewa bila fidia shauri lao lisikilizwe.Katiba hiyo hiyo ndiyo inayoestablish sheria za Ardhi.. kwa mujibu wa sheria ya Ardhi "makazi asilia" tu ndio yanapaswa kuheshimiwa na mipango mipya.. na Kama mwananchi alifanya Maendelezo (of which wengi waendeleza baada ya sheria kutungwa) anapaswa kufuata taratibu kama zilivyokua prescribed.
Huwezi kuniambia few unlawful officers wakimlikisha mtu eneo la ikulu.. halafu tukamyanganya..akienda mahakamani watakataa kumsikiliza!?
Nope watamsikiliza ... maana anazo nyaraka za serikali zinazotosha kufungua kesi.. Sasa mchakato wa kuwatambua culprits na kuwawajibisha kisheria unaweza kuchukua muda ila kamwe hatashinda hiyo kesi Ili alipwe au apewe ebeo...never! anachoweza ni kupata ushahidi alitapeliwa. Na hicho ndicho wakazi wa Kimara wanachoweza kupata. Basi.
Hata hivyo huyu anayekwenda kuanza Ujenzi kwenye eneo bila kufuata taratibu (squatting) naye anavunja chungu au!? Maana it's like katiba ni kwa ajili ya kundi hilli ila si kwa kundi lile. Hiyo double standard ni mbaya sana kwa ustawi wa jamii yetu. Believe me.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Uhuru, Haki na Maendeleo ya wananchi.
VS
Ununuzi wa ndege.
Ipi sera nzuri hapo ya kumkwamua mwananchi kutoka kwenye lindi la umasikini unaomkabili?
Kuku mnakula toka wapi na ye kafa kawaachia mzigo wa lighorofa lake litakalowashinda kukarabati maana wakati analijenga hakukumbuka kuwekeza kwenu ili mje kuwa na uwezo wa kulisimamia,..hamsini moja hamsini majinuun,..mwisho wa siku tunaliuza tu maanà wa kulisimamia hayupo.Halafu Baba Mwenye Ghorofa aliyewalisha nyasi anakufa anamanlizia nyasi.. anawaachia grorofa mnaendelaje kula kuku mpaka mnazeeka... No pain No Gain.. iko hivyo toka Beginning of times.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mwanza kwanini kusiwe na malaria mkuuKingine Lisu amekuwa akiongelea kuwa watatoa bima ya afya Bure !! Mwanza ni mkoa mmoja wapo unaoongoza kwa watu wake kuwa na afya hawaugui ugui hovyo Hakuna malaria kule na hata wakiumwa wengi huwa hawaendi hospital wanatumia dawa za kienyeji .Hiyo bima yake ya afya ana kazi ya ziada kuielezea Mwanza waielewe!!!