Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Acha umbea ๐๐๐kwahiyo uliimbisha weee๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha umbea ๐๐๐kwahiyo uliimbisha weee๐
Sijakujumuisha nimeongea tu kwa jumla, sorry!Usinijumuishe huko mie....sina mpango wa kukutana na mtu humu
Hao bila kukomaa hawaji, ww komaa shikilia hapo hapo. Ukikaza wanakuja vizuri tuMkuu hawa watu wanafurahisha sana,tangu asubuhi nimewaambia wani-pm ili tuweze kupanga ratiba ya kila mmoja kwa ajili ya kuonana kesho,Huwezi amini wanakijomentisha hapa lakini hakuna hata mmoja aliyekja Pm,hapa ndipo ninapopata mashaka!.
Sielewi kwanini wanajishitukia!
anipe ramani na mimi nataka niimbisheAcha umbea ๐๐๐
Hamuwezi kutokea kwasababu mnajijua nyote ni wabovu wa sura mpaka maumbo!๐๐๐๐๐๐๐๐๐ khaaaaaaa!!
Mbona hataree hapo bado hujatuona shombo km zote!! Ukituona humu patatosha kweli??
Namba unapewa tulia mbona mipasho tena!! Au upo kumalija unakunywa visungura boss? ๐๐๐Mi sihitaji namba zako by the way,nilitaka mawasiliano yenu ili nitoe oda ya viti pamoja na meza lakini nyote mmeingia mitini!
Tatizo anakata tamaa mapema sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mpe namba yako ili iwe rahisi kukutana naye
Mkuu sihitaji kukaza,hii ni Offer niliwapa!Hao bila kukomaa hawaji, ww komaa shikilia hapo hapo. Ukikaza wanakuja vizuri tu
Mfyuuuu!! ๐๐๐anipe ramani na mimi nataka niimbishe
Bro kamatia hapo hapo, soon utaona wanakuja pm. Bila kukomaa kama hivyo ni wasumbufu sanaNilichokinoti ni kwamba Mademu wa humu wengi ni wabovu,mmechoka,mmechakaa,nyuso zimewafubaa na miili yenu imetofautina kama miarobaini,hamna mivuto!.
Haiwezekani nitoe offer halafu kila mmoja kaingia mitini!
Kila mmoja anabaki kujichekesha chekesha hapa kwa kutumia Emojis ili kujipa moyo!.
Sasa kama mtaikosa offer kutoka kwa mtu makini kama mimi mtaipata wapi? Au mlishazoea kwenda kujazana Kitambaa cheupe kwa vibaka?
Shame on you!
Sungura tangu lini akanywewa?,au mi ndo mshamba?Namba unapewa tulia mbona mipasho tena!! Au upo kumalija unakunywa visungura boss? ๐๐๐
๐๐๐๐ khaaaaa!!!Hamuwezi kutokea kwasababu mnajijua nyote ni wabovu wa sura mpaka maumbo!
Hao wanaotutilia shaka waambie na sie tunawatilia mashaka vile vile ๐๐๐Sungura tangu lini akanywewa?,au mi ndo mshamba?
Sihitaji namba zako kwasababu haziwezi nisaidia chochote!,Mi ndo nilitaka niwasaidie nyie ambao watu wanawatilia shaka hapa JF.
Niliimbisha nn? Hapo nimezungumzia lamomy kwa watu wengine. Mm na yeye ni special case, unataka kujua?kwahiyo uliimbisha weee[emoji23]
Jamaa akomae tu, mbona mnaenda vizuri tu. Asikate tamaaHuyo anazo namba zangu mwambie akutumie [emoji23][emoji23][emoji23]
๐๐๐๐ pm ukizama kesho mapema unafungua jukwaa dadeqBro kamatia hapo hapo, soon utaona wanakuja pm. Bila kukomaa kama hivyo ni wasumbufu sana
dah, basi tenaNiliimbisha nn? Hapo nimezungumzia lamomy kwa watu wengine. Mm na yeye ni special case, unataka kujua?
Ukikomaa kama hivi, Nina uhakika Hadi kufikiakesho saa 4 asubuhi watakuwa wamekuja kukupa details mkuuHao nilowatag kila mmoja kaingia mitini,no pm,no contacts!,na wewe ndo walewale mademu wa JF,Juu umetuna kama umepigwa jeki halafu chini ni Mswaki!
Eee shoga pombe za bure tukasaidiane kuzigida ๐๐๐Unanipigania shost๐๐