πππ
Mimi.. Wewe!Hakuna. Hadi nisome kwanza.
Faza huku ndevu hawapaki kiwi ...Ushaskia ?Pole bibie, ndiyo ukubwa huo.
Eeenhe, hebu nielezee vizuri, kwamba inakuwaje huko?
Wanapakaga nini?Faza huku ndevu hawapaki kiwi ...Ushaskia ?
Mpaka sasa ni wewe peke yako πYaani ...mpaka leo hakuna mjinga aliyejichanganya ukampiga salio ? ππ
LamomyKuna Yule member ambaye pindi unapokutana na thread ama comment yake mahali unaanza kwa kugonga like Kwanza kisha unatulia na kusoma vizuri alichokiandika kwa sababu unajua ameandika madini matupu
Twende kazi
Kaulize ka Min-meKuna Yule member ambaye pindi unapokutana na thread ama comment yake mahali unaanza kwa kugonga like Kwanza kisha unatulia na kusoma vizuri alichokiandika kwa sababu unajua ameandika madini matupu
Twende kazi
Mkuu nenda katoe lock kisha rudi huku umwage madini kama kawaida yako.Mkuu naenda kutoa lock πͺπΏView attachment 3538575
Hongera Faza Mana unafanya mdogo wetu mshamba_hachekwi kaacha u-hard core.Wanapakaga nini?
Mpaka sasa ni wewe peke yako π
Hahahaha sawa mkuu wangu βπΏMkuu nenda katoe lock kisha rudi huku umwage madini kama kawaida yako.
Usipotelee huko pombeni tunakuhitaji sana
In fact you're the one who inspired me to literally join JF and you must have also inspired many others through your educative threads.Hahahaha sawa mkuu wangu βπΏ
Seriously napokea kwa unyenyekevu mkuu.. ππΏIn fact you're the one who inspired me to literally join JF and you must have also inspired many others through your educative threads.
Mungu akubariki Sana kakaπ€
Huyo kichwani yuko sawa, siyo kama wewe mrembo wangu πHongera Faza Mana unafanya mdogo wetu mshamba_hachekwi kaacha u-hard core.