Hebu wataje members ambao huwa unalike post/comments zao hata kabla ya kuzisoma

Hebu wataje members ambao huwa unalike post/comments zao hata kabla ya kuzisoma

Raymanu KE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2022
Posts
10,644
Reaction score
20,009
Kuna Yule member ambaye pindi unapokutana na thread ama comment yake mahali unaanza kwa kugonga like Kwanza kisha unatulia na kusoma vizuri alichokiandika kwa sababu unajua ameandika madini matupu

Twende kazi
 
Animated GIF.gif
 
Back
Top Bottom