Hebu wataje members ambao huwa unalike post/comments zao hata kabla ya kuzisoma

Hebu wataje members ambao huwa unalike post/comments zao hata kabla ya kuzisoma

Usijichimbie sana Sis, Frankly we value and miss your thoughtful, academically grounded insights 🤗🤗 and well reasoned contributions are greatly missed. 😊 Siwezi ficha Hilo maua yako nikupe🌹🌹
Thanks alot dear. Am right here
 
Kuna mtu niliwahi kutana nae chuo akasema na yeye yupo jf..

Nikamuuliza unamjua mshana jr...
N unajua mada zake..

Yaan kiufupi ili nihakikishe mtu yupo.jf lazima nimuulize hvo
 
Kuna Yule member ambaye pindi unapokutana na thread ama comment yake mahali unaanza kwa kugonga like Kwanza kisha unatulia na kusoma vizuri alichokiandika kwa sababu unajua ameandika madini matupu

Twende kazi
Heriel Mtibeli,,,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom