Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Kijana Raymanu KE jiongeze. Usiniambie kwa hii comment ya mrembo bado haujajua anataka niniNipo kila siku Raymanu KE na sikutani na wewe sana jukwaani
Kijana Raymanu KE jiongeze. Usiniambie kwa hii comment ya mrembo bado haujajua anataka niniNipo kila siku Raymanu KE na sikutani na wewe sana jukwaani
Kulike kwa maana alivyomaanisha mtoa post ni kukubaliana na hoja, katika hali ya kawaida haiwezekani mtu awe anakubaliana na kila kitu. Ndio maana nikafikiri ule mtindo wa kulike kila kitu ni kama suala fulani tu la kujitengenezea identity kama jamaa mmoja hivi alikua anatumia user name ya rare rere, sijui kapotelea wapi siku hiziNinazo fanya hivyo zote nina soma , nitalike vip bila kusoma? Mimi ni mwehu kwani?
Sio lazima nilike nikubaliane na hoja , naweza kulike tu kama kuonyesha nimesoma maoni yako na bado ni ka reply kupinga hoja yako.Kulike kwa maana alivyomaanisha mtoa post ni kukubaliana na hoja, katika hali ya kawaida haiwezekani mtu awe anakubaliana na kila kitu. Ndio maana nikafikiri ule mtindo wa kulike kila kitu ni kama suala fulani tu la kujitengenezea identity kama jamaa mmoja hivi alikua anatumia user name ya rare rere, sijui kapotelea wapi siku hizi
That's my niggaJoanah jamani tusife kabla hatujaonana
Basi hatukuelewana mtoa mada yupo selective, yaani anamaanisha likes ambazo unakubaliana na uzito wa hoja sio likes for the sake of liking.Sio lazima nilike nikubaliane na hoja , naweza kulike tu kama kuonyesha nimesoma maoni yako na bado ni ka reply kupinga hoja yako.
Nakuelewa vizuri sana , na mimi nikasema vyote ninavyosoma natoa likes ,bila kujalisha ni upupu ama madini, natoa like kukubali maoni yako tu haijalishi nayapinga au nayakubali , pia naonyesha kuwa nimesoma kiufasaha basi.Basi hatukuelewana mtoa mada yupo selective, yaani anamaanisha likes ambazo unakubaliana na uzito wa hoja sio likes for the sake of liking.
Unataka niwe natongoza kwa ID hii kweli ?Kwa hiyo wewe ni mtu mmoja na hao wote niliowataja? 😂.
Likes anazimaanisha mtoa mada ni za maoni ambayo unayakubali sio yale unayoyapinga. Ndio maana akawa selective kwa kusema "madini". Madini ni lugha ya mtaani ikimaanisha hoja nzitoNakuelewa vizuri sana , na mimi nikasema vyote ninavyosoma natoa likes ,bila kujalisha ni upupu ama madini, natoa like kukubali maoni yako tu haijalishi nayapinga au nayakubali , pia naonyesha kuwa nimesoma kiufasaha basi.
Nikikubali hoja nitaweka nzuri , au nitareply naunga mkono hoja .
Yaani wewe shemeji na yale matunguri yako yaani napita shwaaaaa🤣🤣
Bado sijatoka kwenye kiini cha mada, nipo ndani ya mada kwa namna nyingine tu .Likes anazimaanisha mtoa mada ni za maoni ambayo unayakubali sio yale unayoyapinga. Ndio maana akawa selective kwa kusema "madini". Madini ni lugha ya mtaani ikimaanisha hoja nzito
Ameenda kutunga mbinu mpya ya kuja kututapeli 😁.secretarybird hivi manyau nyau kaishia wapi?
Ngosha Shimba ya Buyenze.min -me Kuna mwamba mmoja humu nafikir anaitwa sijui simba buyanza, yani huwa anatokezea mara moja moja pale inapotokea kuna topic kuhusu makalio makubwa, ana comment alafu huyoo haumuoni tena baada ya miezi mitatu😁
Hapana. Tumia ile nyingine kutongozea.Unataka niwe natongoza kwa ID hii kweli ?
Daha ana T kubwa!😋.secretarybird chukua hilo totoz Binti wa zamani si unajua valentine imekaribia
View attachment 3538677
Daaah kupigana gani huko, mpaka nimeogopa 🤣secretarybird chukua hilo totoz Binti wa zamani si unajua valentine imekaribia
View attachment 3538677