adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Mbona wote hao ni mtu mmoja mkuu
Mbona wote hao ni mtu mmoja mkuu
ila faza unajikaza Sana Hadi unaonekana wakike.Huyo kichwani yuko sawa, siyo kama wewe mrembo wangu 😉
Kwa hiyo wewe ni mtu mmoja na hao wote niliowataja? 😂.Mbona wote hao ni mtu mmoja mkuu
Sijikazi, mi nimekuelewa bi mzuri, njoo basi Arusha unibless na huo mtaukoorrr.ila faza unajikaza Sana Hadi unaonekana wakike.
Homgera kwa kweli.
Yaani wewe shemeji na yale matunguri yako yaani napita shwaaaaa🤣🤣Mimi.. Wewe!
Sikujui bana 😅Mimi simo?View attachment 3538619
Anza kunijua Sasa....Sikujui bana 😅
Woooow,Sijikazi, mi nimekuelewa bi mzuri, njoo basi Arusha unibless na huo mtaukoorrr.
Nipo kila siku Raymanu KE na sikutani na wewe sana jukwaaniMimi mbona nipo kbsa wewe ndo huonekani.
Siku hizi umeadimika sana Joanah
Usiogope, nitakulinda mrembo wangu, zaidi ya mimi hakuna mtu mwingine atakayekukaza!Woooow,
Arusha Kule Marasi wanapovuliwa Ubingwa ?😂
Huyu jamaa alie upande wa kulia amekaa mguu nje,mguu ndani.Mkuu naenda kutoa lock 💪🏿View attachment 3538575
Eeish, what's not happening here😅Usiogope, nitakulinda mrembo wangu, zaidi ya mimi hakuna mtu mwingine atakayekukaza!
Joanah jamani tusife kabla hatujaonanaNipo kila siku Raymanu KE na sikutani na wewe sana jukwaani